Godfather kuongoza video ya Yamoto Band, Diamond aigharamia
Muongozaji wa video za muziki wa Afrika Kusini, Godfather ataongoza video ya wimbo mpya wa kundi la Yamond Band ‘Cheza Kimadoido’ na Diamond ndiye atakayeigharamikia. Meneja wa kundi hilo, Said Fella, amesema Yamoto Band watasafiri Jumatatu kuelekea nchini Afrika Kusini kushoot video hiyo. “Wiki ijayo tunatarajia kufanya video mpya ya Yamoto Band na Godfather atakuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Yamoto Band wakiondoka kuelekea SA kufanya Video na Godfather
Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO
10 years ago
MichuziYAMOTO BAND WAELEKEA BONDENI KUFANYA VIDEO NA GODFATHER
11 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Yamoto Band yapamba ‘Birthday’ ya Diamond
BENDI inayokuja kwa kasi katika muziki wa Dansi Ya Moto juzi, ilikonga nyoyo katika siku ya kuzaliwa ya msanii maarufu, Nasseb Abdul ‘Diamond’ iliyofanyika ukumbi wa Gorden Jubelee Tower, Jijini...
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Yamoto Band: Tunatamani mafanikio ya Diamond
Na Mwandishi Wetu
WASANII wa bendi ya Yamoto Band wameweka wazi kwamba hakuna msanii asiyependa kuwa na mafanikio kama ya Nasib Abdul (Diamond) anayezidi kung’ara katika muziki wake. Kauli hiyo waliitoa jana walipotembelea Kampuni ya New Habari (2006) Ltd iliyopo Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam, ambayo huchapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa, Dimba na The African. “Ukweli ni kwamba, hakuna asiyependa kuwa na mafanikio makubwa kama anayopata Diamond katika muziki na hali hiyo ndiyo...
10 years ago
CloudsFM16 Apr
Yamoto Band wanatamani mafanikio ya Diamond.
WASANII wa bendi ya Yamoto Band wameweka wazi kwamba hakuna msanii asiyependa kuwa na mafanikio kama ya Nasib Abdul (Diamond) anayezidi kung’ara katika muziki wake.
11 years ago
GPLDIAMOND, YAMOTO BAND KUTUMBUIZA SIKU YA MSANII DAR
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Yamoto kumrudia Godfather
Yamoto Band.
ANDREW CARLOS
Baada ya kutikisa na Video ya Cheza kwa Madoido,bendi inayotikisa Bongo,Yamoto inatarajia kurudi tena kwa mtayarishaji aliyewaandalia video hiyo, Mike Ogoke ‘Godfather’ kwa ajili ya video yao nyingine itakayotambulika kama Elea.
Meneja wa kundi hilo, Said Fella alisema licha ya hilo, pia kwa mara ya kwanza mashabiki wataisikia nyimbo hiyo Desemba 19, mwaka huu ndani ya Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
“Cha msingi ni kusogea Dar Live Desemba 19, kushuhudia...
10 years ago
Africanjam.Com
10 years ago
GPL25 Jan