Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yamoto kumrudia Godfather

IMG_20150107_010322Yamoto Band.

ANDREW CARLOS
Baada ya kutikisa na Video ya Cheza kwa Madoido,bendi inayotikisa Bongo,Yamoto inatarajia kurudi tena kwa mtayarishaji aliyewaandalia video hiyo, Mike Ogoke ‘Godfather’ kwa ajili ya video yao nyingine itakayotambulika kama Elea.

Meneja wa kundi hilo, Said Fella alisema licha ya hilo, pia kwa mara ya kwanza mashabiki wataisikia nyimbo hiyo Desemba 19, mwaka huu ndani ya Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

“Cha msingi ni kusogea Dar Live Desemba 19, kushuhudia...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

YAMOTO BAND WAELEKEA BONDENI KUFANYA VIDEO NA GODFATHER

Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella  kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.

 

10 years ago

Bongo5

Godfather kuongoza video ya Yamoto Band, Diamond aigharamia

Muongozaji wa video za muziki wa Afrika Kusini, Godfather ataongoza video ya wimbo mpya wa kundi la Yamond Band ‘Cheza Kimadoido’ na Diamond ndiye atakayeigharamikia. Meneja wa kundi hilo, Said Fella, amesema Yamoto Band watasafiri Jumatatu kuelekea nchini Afrika Kusini kushoot video hiyo. “Wiki ijayo tunatarajia kufanya video mpya ya Yamoto Band na Godfather atakuwa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wakiondoka kuelekea SA kufanya Video na Godfather

 Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella  kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO 

 

9 years ago

BBCSwahili

Sunderland kumrudia Viera?

Kilabu ya Sunderland nchini Uingereza inayokumbwa na utata kwa sasa inadaiwa kutaka kumrudia Patrick Viera iwapo Dick Advocaat atajiuzulu.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper: Ni wakati wa kumrudia Mungu

STAA mkali wa filamu ambaye hivi karibuni alipumzika kwa muda sanaa hiyo, Jacqueline Wolper, amesema baada ya kufanya mambo mengi maovu, huu ni wakati wa kumrudia Mungu, hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu.

Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wolper alisema mara nyingi mastaa hujisahau kwa kuendekeza anasa nyingi za duniani na kumkosea Mungu, hivyo ni bora kuamua hata kwa saa mbili kwa siku kusoma neno lake.

“Kwa kweli mara nyingi sisi tumejisahau sana kujipendekeza kwa Mungu, badala...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanasiasa wakumbushwa kumrudia Mungu

Wanasiasa wanaojiandaa kuingia katika Uchaguzi Mkuu, wametakiwa kumuomba Mungu ili awape nafasi hizo kwa njia sahihi kuliko kutumia ‘sangoma’.

 

10 years ago

BBC

VIDEO: The godfather of Ethiopian jazz

Mulatu Astatke, the godfather of Ethiopian jazz music, speaks to the BBC's Sophie Ikenye about his musical journey.

 

10 years ago

GPL

AY WAKALA WA GODFATHER EAST AFRICA

Mwanamuziki Ambwene Yesaya 'AY'. MKALI wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Ambwene Yesaya 'AY' anayetamba kwa kibao chake cha ‘Asante’ ndiye wakala wa muongozaji video, Godfather mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini. AY amesema msanii yeyote wa Afrika Mashariki anayehitaji kufanya video chini ya muongozaji huyo ni lazima apitie kwake kwani yeye ndiye wakala wake hapa Afrika Mashariki. Alisema… “Huwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani