Wolper: Ni wakati wa kumrudia Mungu
STAA mkali wa filamu ambaye hivi karibuni alipumzika kwa muda sanaa hiyo, Jacqueline Wolper, amesema baada ya kufanya mambo mengi maovu, huu ni wakati wa kumrudia Mungu, hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wolper alisema mara nyingi mastaa hujisahau kwa kuendekeza anasa nyingi za duniani na kumkosea Mungu, hivyo ni bora kuamua hata kwa saa mbili kwa siku kusoma neno lake.
“Kwa kweli mara nyingi sisi tumejisahau sana kujipendekeza kwa Mungu, badala...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Wanasiasa wakumbushwa kumrudia Mungu
10 years ago
Michuzi
Jamii yaaswa kumrudia Mungu - Viongozi wa Dini
Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Katoliki ,Dar es Salaam Eusebius Nzigilwa amesema katika kuadhimisha sikukuu ya Krismas watu wafuate njia ya mungu na sio njia ya Ibilisi ambayo inafundisha maovu.
Akizungumza leo baada ya Ibada ya Sikukuu ya Krismas ,Nzigilwa alisema watu wenye uwezo lazima wasaidie wasio na uwezo kwani Yesu alizaliwa katika pango la Bethelehem lakini watu wenye uwezo walimuacha kutokana na kuwa katika njia ya ibilisi.
Nzigilwa alisema suala la...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Wanaoua vikongwe, wahalifu Geita waombwa kumrudia Mungu
WANAOJICHUKULIA sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu na vikongwe kwa imani za kishirikina mkoani hapa, wametakiwa kuacha tabia hiyo kwa sababu wanaenda kinyume na neno la Mungu. Kauli hiyo imetolewa jana...
10 years ago
Bongo Movies10 Mar
Wolper: Kipini Puani Kimenijazi Inzi Mtandaoni, Wakati Kinaniingizia Hela!
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ameyasema hayo baada ya hapo jana baadhi ya mashabiki mtandaoni kumshambulia mara baada ya kubandika picha akiwa na kipini puani.
“Ewe kipini....kipini kipuli kipuli...kiheren kihereni umenijazia inzi kwenye akauni yangu yangu lakini kipini nivumilie nimalize hii Movie na we utapumzika lakini kipini nilivyokuhusudu naunaendana na kabila la Mama yangu upande wa bibi mza mama Masai basi nitakufkria eidha uwe ndonya yangu yakudumu au nitakutoa lakini...
11 years ago
Dewji Blog28 May
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Yamoto kumrudia Godfather
Yamoto Band.
ANDREW CARLOS
Baada ya kutikisa na Video ya Cheza kwa Madoido,bendi inayotikisa Bongo,Yamoto inatarajia kurudi tena kwa mtayarishaji aliyewaandalia video hiyo, Mike Ogoke ‘Godfather’ kwa ajili ya video yao nyingine itakayotambulika kama Elea.
Meneja wa kundi hilo, Said Fella alisema licha ya hilo, pia kwa mara ya kwanza mashabiki wataisikia nyimbo hiyo Desemba 19, mwaka huu ndani ya Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
“Cha msingi ni kusogea Dar Live Desemba 19, kushuhudia...
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Sunderland kumrudia Viera?