Jamii yaaswa kumrudia Mungu - Viongozi wa Dini
![](http://1.bp.blogspot.com/-bIBm9aOZKMc/VJv5HYi-LAI/AAAAAAAG5xM/i8xvATmlzZ4/s72-c/DSC_0118.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Katoliki ,Dar es Salaam Eusebius Nzigilwa amesema katika kuadhimisha sikukuu ya Krismas watu wafuate njia ya mungu na sio njia ya Ibilisi ambayo inafundisha maovu.
Akizungumza leo baada ya Ibada ya Sikukuu ya Krismas ,Nzigilwa alisema watu wenye uwezo lazima wasaidie wasio na uwezo kwani Yesu alizaliwa katika pango la Bethelehem lakini watu wenye uwezo walimuacha kutokana na kuwa katika njia ya ibilisi.
Nzigilwa alisema suala la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVIONGOZI WA DINI, MAIMAMU KUIENDELEZA JAMII
9 years ago
Bongo Movies25 Nov
Wolper: Ni wakati wa kumrudia Mungu
STAA mkali wa filamu ambaye hivi karibuni alipumzika kwa muda sanaa hiyo, Jacqueline Wolper, amesema baada ya kufanya mambo mengi maovu, huu ni wakati wa kumrudia Mungu, hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wolper alisema mara nyingi mastaa hujisahau kwa kuendekeza anasa nyingi za duniani na kumkosea Mungu, hivyo ni bora kuamua hata kwa saa mbili kwa siku kusoma neno lake.
“Kwa kweli mara nyingi sisi tumejisahau sana kujipendekeza kwa Mungu, badala...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Wanasiasa wakumbushwa kumrudia Mungu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7c16QPeNAw8/Xo1vcej6r5I/AAAAAAALmdM/QNyRdAFOCHU7Lt96lT1PamjANu7tnMvMwCLcBGAsYHQ/s72-c/d79fae8f-60c5-4aa4-ab24-7f03bbdd2cbc.jpg)
VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUISADIA SERIKALI KUELIMISHA JAMII KUHUSU UGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-7c16QPeNAw8/Xo1vcej6r5I/AAAAAAALmdM/QNyRdAFOCHU7Lt96lT1PamjANu7tnMvMwCLcBGAsYHQ/s400/d79fae8f-60c5-4aa4-ab24-7f03bbdd2cbc.jpg)
Akizungumza na Vyombo vya habari Msemaji wa Taasisi ya dini ya Kiislaamu ya TWARIQA Qadiria,Jalailania Arrasziqia Tanzania Shekhe Haruna Hussein alisema viongozi wa dini Wana nafasi kubwa Sana katika kusaidia mapambano haya ya Virusi vya Corona,kwa kuhakikisha kuwa katika...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Wanaoua vikongwe, wahalifu Geita waombwa kumrudia Mungu
WANAOJICHUKULIA sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu na vikongwe kwa imani za kishirikina mkoani hapa, wametakiwa kuacha tabia hiyo kwa sababu wanaenda kinyume na neno la Mungu. Kauli hiyo imetolewa jana...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Jamii yaaswa kulea yatima
JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kulea yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi kutokana na wengi wao kutokuwa na wazazi huku walezi wao wakiwa hawana uwezo wa kuwapatia mahitaji ya msingi.
10 years ago
Habarileo17 Aug
Jamii yaaswa kupanda miti
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Solar Oven Society Africa limetaka jamii kupanda miti kwa wingi katika maeneo yao ili kulinda na kuhifadhi mazingira na kuepusha nchi kugeuka jangwa.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cXVr3TNwQs4/VTYc7LlLr0I/AAAAAAAC3X4/2GgnLYO9lus/s72-c/20150418_164243.jpg)
JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WALEMAVU
![](http://2.bp.blogspot.com/-cXVr3TNwQs4/VTYc7LlLr0I/AAAAAAAC3X4/2GgnLYO9lus/s1600/20150418_164243.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-D7QabrBUtHE/VTYcyVuQmHI/AAAAAAAC3Xo/NyHG81Fm2Qg/s1600/20150418_164402.jpg)
NA DENIS...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Jamii yaaswa mapambano dhidi ya mihadarati
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime, ametoa wito kwa jamii kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kuwa vita hiyo ni ya kimataifa....