Wanaoua vikongwe, wahalifu Geita waombwa kumrudia Mungu
WANAOJICHUKULIA sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu na vikongwe kwa imani za kishirikina mkoani hapa, wametakiwa kuacha tabia hiyo kwa sababu wanaenda kinyume na neno la Mungu. Kauli hiyo imetolewa jana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo15 Mar
Wanaoua albino wamuhofie Mungu - IPTL
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
Wanaoua albino wamuhofie Mungu — IPTL
Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha waliyoitoa kusaidia harakati za imetosha jana jijini Dar es Salaam.
Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga mauaji...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Wanasiasa wakumbushwa kumrudia Mungu
9 years ago
Bongo Movies25 Nov
Wolper: Ni wakati wa kumrudia Mungu
STAA mkali wa filamu ambaye hivi karibuni alipumzika kwa muda sanaa hiyo, Jacqueline Wolper, amesema baada ya kufanya mambo mengi maovu, huu ni wakati wa kumrudia Mungu, hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wolper alisema mara nyingi mastaa hujisahau kwa kuendekeza anasa nyingi za duniani na kumkosea Mungu, hivyo ni bora kuamua hata kwa saa mbili kwa siku kusoma neno lake.
“Kwa kweli mara nyingi sisi tumejisahau sana kujipendekeza kwa Mungu, badala...
10 years ago
MichuziWANAWAKE MORO WAOMBWA KUSAIDIA KUFICHUA WAHALIFU.
Na John Nditi, Morogoro
MKUU wa Mkoa wa Morogoro pichani kati, Dk Rajab Rutengwe, amewaomba wanawake kuanzia ngazi ya mitaa, vitongoji, vijiji na kata kushiriki katika suala la ulinzi shirikishi kwa kuwafichua wahalifu wanaotishia kuhatarisha uvujifu wa amani ndani ya mkoa.
Dk Rutengwe alitoa rai hiyo wakati alipozungumza na wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Morogoro , Julai 24, 2015 wilayani Kilosa baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi...
10 years ago
MichuziJamii yaaswa kumrudia Mungu - Viongozi wa Dini
Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Katoliki ,Dar es Salaam Eusebius Nzigilwa amesema katika kuadhimisha sikukuu ya Krismas watu wafuate njia ya mungu na sio njia ya Ibilisi ambayo inafundisha maovu.
Akizungumza leo baada ya Ibada ya Sikukuu ya Krismas ,Nzigilwa alisema watu wenye uwezo lazima wasaidie wasio na uwezo kwani Yesu alizaliwa katika pango la Bethelehem lakini watu wenye uwezo walimuacha kutokana na kuwa katika njia ya ibilisi.
Nzigilwa alisema suala la...
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Mamaja wataka mauaji ya vikongwe yatokomezwe Geita
KIKUNDI cha mahusiano na mawasiliano ya jamii (Mamaja Group), cha mjini hapa kimeitaka jamii kutoa ushirikiano wa kutokomeza kabisa mauaji ya vikongwe yanayosababishwa na imani za kishirikina, urithi na migogoro...
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
9 years ago
Habarileo16 Sep
Wanaoua ushirika kukiona -Samia
MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema ilani ya chama hicho ya awamu ya tano, itawaondoa watendaji wote wanaotumia vyama vya ushirika kwa manufaa yao badala ya wakulima.