Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaoua albino wamuhofie Mungu — IPTL

Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha waliyoitoa kusaidia harakati za imetosha jana jijini Dar es Salaam.

Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha waliyoitoa kusaidia harakati za imetosha jana jijini Dar es Salaam.

Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga mauaji ya watu wenye albino. Kushoto ni Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege.

Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga mauaji...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wanaoua albino wamuhofie Mungu - IPTL

Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha waliyoitoa kusaidia harakati za imetosha jana jijini Dar es Salaam. Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha waliyoitoa kusaidia harakati za imetosha jana jijini Dar es Salaam.Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga mauaji ya watu wenye albino. Kushoto ni Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege. Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaoua vikongwe, wahalifu Geita waombwa kumrudia Mungu

WANAOJICHUKULIA sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu na vikongwe kwa imani za kishirikina mkoani hapa, wametakiwa kuacha tabia hiyo kwa sababu wanaenda kinyume na neno la Mungu. Kauli hiyo imetolewa jana...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu: Wanaoua albino kuikosa mbingu

WATU wanaojihusisha na mauaji ya albino kwa lengo la kusaka vyeo au utajiri, wameonywa waache tabia hiyo mara moja kwa kuwa Mungu anawaona na kuchukizwa na vitendo vyao.

 

10 years ago

Habarileo

UVCCM yataka wanaoua albino wasakwe kila kona

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Lindi limeitaka Serikali kuendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

‘‘Sikupenda kuzaa albino ni kazi ya Mungu’’

 Ni kama ndoto lakini  ni kweli nimepatwa na sitofahamu kuhusu hatima ya maisha ya watoto wangu watatu wenye ulemavu wa ngozi (albino). Sijui nikimbilie wapi ili niokoe maisha yao. Mungu simama pamoja na watoto wangu kwani nao wana haki ya kuishi.”

 

11 years ago

GPL

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…

 

9 years ago

Habarileo

Wanaoua ushirika kukiona -Samia

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema ilani ya chama hicho ya awamu ya tano, itawaondoa watendaji wote wanaotumia vyama vya ushirika kwa manufaa yao badala ya wakulima.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ashangaa viongozi wanaoua, kutesa raia

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuwa katika enzi za sasa za Utawala Bora bado baadhi ya Serikali na viongozi wa Afrika wanaua na kutesa raia wao kwa kisingizio kuwa Utawala Bora siyo mfumo wa Kiafrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani