Wanasiasa wakumbushwa kumrudia Mungu
Wanasiasa wanaojiandaa kuingia katika Uchaguzi Mkuu, wametakiwa kumuomba Mungu ili awape nafasi hizo kwa njia sahihi kuliko kutumia ‘sangoma’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies25 Nov
Wolper: Ni wakati wa kumrudia Mungu
STAA mkali wa filamu ambaye hivi karibuni alipumzika kwa muda sanaa hiyo, Jacqueline Wolper, amesema baada ya kufanya mambo mengi maovu, huu ni wakati wa kumrudia Mungu, hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wolper alisema mara nyingi mastaa hujisahau kwa kuendekeza anasa nyingi za duniani na kumkosea Mungu, hivyo ni bora kuamua hata kwa saa mbili kwa siku kusoma neno lake.
“Kwa kweli mara nyingi sisi tumejisahau sana kujipendekeza kwa Mungu, badala...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bIBm9aOZKMc/VJv5HYi-LAI/AAAAAAAG5xM/i8xvATmlzZ4/s72-c/DSC_0118.jpg)
Jamii yaaswa kumrudia Mungu - Viongozi wa Dini
Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Katoliki ,Dar es Salaam Eusebius Nzigilwa amesema katika kuadhimisha sikukuu ya Krismas watu wafuate njia ya mungu na sio njia ya Ibilisi ambayo inafundisha maovu.
Akizungumza leo baada ya Ibada ya Sikukuu ya Krismas ,Nzigilwa alisema watu wenye uwezo lazima wasaidie wasio na uwezo kwani Yesu alizaliwa katika pango la Bethelehem lakini watu wenye uwezo walimuacha kutokana na kuwa katika njia ya ibilisi.
Nzigilwa alisema suala la...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Wanaoua vikongwe, wahalifu Geita waombwa kumrudia Mungu
WANAOJICHUKULIA sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu na vikongwe kwa imani za kishirikina mkoani hapa, wametakiwa kuacha tabia hiyo kwa sababu wanaenda kinyume na neno la Mungu. Kauli hiyo imetolewa jana...
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Sunderland kumrudia Viera?
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Yamoto kumrudia Godfather
Yamoto Band.
ANDREW CARLOS
Baada ya kutikisa na Video ya Cheza kwa Madoido,bendi inayotikisa Bongo,Yamoto inatarajia kurudi tena kwa mtayarishaji aliyewaandalia video hiyo, Mike Ogoke ‘Godfather’ kwa ajili ya video yao nyingine itakayotambulika kama Elea.
Meneja wa kundi hilo, Said Fella alisema licha ya hilo, pia kwa mara ya kwanza mashabiki wataisikia nyimbo hiyo Desemba 19, mwaka huu ndani ya Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
“Cha msingi ni kusogea Dar Live Desemba 19, kushuhudia...
9 years ago
Habarileo02 Sep
Wakumbushwa sheria za uchaguzi
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi zao na kuzijua Sheria za Tume ya Uchaguzi (ZEC) ikiwemo kufahamu kwamba chombo chenye uwezo wa kutangaza matokeo ya urais wa Zanzibar ni Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).
9 years ago
Habarileo11 Nov
OUT wakumbushwa dhana ya uwajibikaji
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), tawi la Manyara wanaosoma huku wakifanya kazi wamehimizwa kukabili changamoto za uwajibikaji kazini na kwenye masomo ili kufikia malengo ya maendeleo kwa kujipatia elimu kwa wote.