Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OUT wakumbushwa dhana ya uwajibikaji

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), tawi la Manyara wanaosoma huku wakifanya kazi wamehimizwa kukabili changamoto za uwajibikaji kazini na kwenye masomo ili kufikia malengo ya maendeleo kwa kujipatia elimu kwa wote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TPDC YATEKELEZA DHANA YA UWAJIBIKAJI KWA JAMII MKOANI MTWATRA.

Mkurugenzi wa Undelezaji wa Mafuta na Gesi Asilia Dk. Wellngton Hudson (kushoto), akitoa mfano wa Hundi ya shilingi 15,000,000, kwa uongozi wa Mkoa wa Mtwara na Klabu ya Mpira wa Miguu ya Ndanda, kuanzia kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Bi. Halima Dendego, Mkurugenzi wa Klabu ya Ndanda Athuman Kambi na Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Alfred Cosmas Luanda.Mkurugenzi wa Undelezaji wa Mafuta na Gesi Asilia Dk. Wellngton Hudson (pili kushoto), akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi 10,000,000 kwa...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YATAKA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA KUTEKELEZA KWA VITENDO DHANA YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi ( picha ya Maktaba) ametoa wito kwa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Ofisi zake kutekeleza kwa vitendo dhana ya uwazi na uwajibikani kama yanavyozishikiza Nchi Wanachama, kwa kile alichosema, utekelezaji wa dhana hiyo haupashwi kuwa jukumu la Serikali peke yake. Ametoa wito huo wakati wa majadiliano ya Ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu iliyowasilishwa siku ya jumatatu mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA VIJIJI NI DHANA KUU YA KUTATUA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WANAO WAONGOZA

Baadhi ya wenyeviti toka Halmashauri ya wilaya ya Kishapu wakimsikiliza mkufunzi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo yao yaliyofanyika wilayani hapo. 
“Unakuja kwenye ofisi yangu na kutoa taarifa za ubadhirifu wa mtendaji wa kijiji. Nakuuliza, je umechukua hatua zipi kama kiongozi wa kijiji kabla kuja kwenye ofisi yangu? Unanijibu hapana, hii si sahihi,” Hayo ni maneno ya mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Hashim Mgandilwa, aliyoyatoa wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wenyeviti wa vijiji, watendaji...

 

9 years ago

Habarileo

Wakumbushwa sheria za uchaguzi

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi zao na kuzijua Sheria za Tume ya Uchaguzi (ZEC) ikiwemo kufahamu kwamba chombo chenye uwezo wa kutangaza matokeo ya urais wa Zanzibar ni Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).

 

11 years ago

Mwananchi

Wazazi wakumbushwa kutunza kumbukumbu

Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Eugine Mwaiposa, amewataka wazazi kutunza kumbukumbu za watoto wao ili kuepuka usumbufu usio wa lazima pale zinapohitajika shuleni.

 

10 years ago

Habarileo

Wasafirishaji kemikali wakumbushwa kujisajili

Profesa Samwel ManyeleWAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) umeagiza wasafirishaji wa kemikali wote nchini ambao hawajasajiliwa kufanya usajili kabla ya Desemba 31, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanasiasa wakumbushwa kumrudia Mungu

Wanasiasa wanaojiandaa kuingia katika Uchaguzi Mkuu, wametakiwa kumuomba Mungu ili awape nafasi hizo kwa njia sahihi kuliko kutumia ‘sangoma’.

 

9 years ago

Habarileo

Wanahabari wakumbushwa kutojihusisha na vyama

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kutojihusisha na ushabiki wa vyama vya siasa wakati wa kuandika na kuhariri habari kuepuka hatarisha maisha yao.

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi wakumbushwa kujielimisha rushwa

WAANDISHI wa habari wametakiwa kujielimisha zaidi juu ya sheria mbalimbali za uchaguzi ili watambue ni mambo gani ambayo mgombea akiyafanya kwa wapiga kura inahesabika kuwa ni rushwa na yapi sio rushwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani