Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAWAKE MORO WAOMBWA KUSAIDIA KUFICHUA WAHALIFU.



Na John Nditi, Morogoro
MKUU wa Mkoa wa Morogoro pichani kati, Dk Rajab Rutengwe, amewaomba  wanawake kuanzia ngazi ya mitaa, vitongoji,  vijiji na kata  kushiriki katika suala la ulinzi shirikishi kwa  kuwafichua wahalifu  wanaotishia kuhatarisha uvujifu wa amani ndani ya  mkoa.
Dk Rutengwe alitoa rai hiyo wakati alipozungumza na wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Morogoro , Julai 24, 2015  wilayani Kilosa baada ya kutangazwa kwa  matokeo ya uchaguzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaoua vikongwe, wahalifu Geita waombwa kumrudia Mungu

WANAOJICHUKULIA sheria mkononi kwa kuwaua wahalifu na vikongwe kwa imani za kishirikina mkoani hapa, wametakiwa kuacha tabia hiyo kwa sababu wanaenda kinyume na neno la Mungu. Kauli hiyo imetolewa jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau waombwa kusaidia watoto

SERIKALI na sekta mbalimbali zimeombwa kuguswa na tatizo la watoto wa mitaani ambalo ni janga la taifa. Hayo yalizungumzwa na mama Mlezi wa Kituo cha watoto yatima na waishio katika...

 

10 years ago

Habarileo

Waombwa kusaidia kuwafichua watumishi hewa

WAKUU wa Idara pamoja na viongozi wa taasisi za mifuko ya jamii nchini wameombwa kusaidia serikali kubaini wafanyakazi hewa wanaoendelea kupokea fedha za serikali, lakini wameshastaafu utumishi wao na wengine kufariki dunia.

 

10 years ago

Habarileo

Wahariri waombwa kusaidia kufikia malengo ya 90-90-90 dhidi ya Ukimwi

SERIKALI kupitia Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imewaomba wahariri wa vyombo vya habari nchini, kutenga nafasi katika vyombo vyao ili kusaidia malengo iliyojiwekea katika kufikia asilimia 90 ya kudhibiti virusi vya Ukimwi ifikapo mwaka 2020.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa dini, wanasiasa waombwa kusaidia kufanikisha chanjo ya Surua na Rubella

DSC01014

Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi, akifungua kikao cha uhabarisho wa chanjo mpya ya Surua na Rubella wilayani humo. Dc Mlozi pamoja na mambo mengine, ameagiza viongozi wa madhehebu ya dini na wale wa kisiasa, kushiriki kikamilifu zoezi hilo la kitaifa linalotarajiwa kuanza Okt. 18 hadi 24 mwaka huu. Jumla ya watoto 103,879 wilayani humo, wanatarajiwa kupatiwa chanjo hiyo. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Mwendahasara Maganga.

Na Nathaniel Limu,...

 

11 years ago

GPL

ENDELEENI KUFICHUA UNYANYASAJI KWA WANAWAKE, WATOTO – TAMWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa, Dk. Valery Msoka. Na Walusanga Ndaki
VYOMBO vya habari vimetakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo. Msisitizo huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Wagombea uongozi wanawake waombwa kutetea ujinsia

WANAWAKE waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao wameshauriwa kubeba ajenda za haki za wanawake bila kujali itikadi za vyama vyao na kuhakikisha wanazisemea kadri watakavyoweza.

 

11 years ago

Mwananchi

JK aishukuru CRDB kusaidia Sh100mil kwa waathirika Moro

>Benki ya CRDB, imemkabidhi Rais Jakaya Kikwete hundi ya Sh100 milioni kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyozikumba Wilaya tatu za Kilosa, Gairo na Mvomero mkoani Morogoro mwezi uliopita.

 

11 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE WAJASIRIMALI

DSC_0935 Mwenyekiti wa Tancraft, Elihaika Mrema akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa jumuiya kubwa za wafanyabiashara na pamoja na serikali kuwaunga mkono wajasirimali wanawake nchini, Kushoto ni Esther Kasenga Msaidizi wa Katibu, Kulia Mweka hazina wa Chama cha Tancraft, Bi.Louise Judicate na Wapili kulia ni Katibu wa Tancraft, Bi. Vicky Shayo.
Na Damas Makangale
WAMILIKI Wote wa maeneo ya biashara nchini wameombwa kutoa nafasi ya maeneo ya biashara kwa wajasirimali wanawake ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani