Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea uongozi wanawake waombwa kutetea ujinsia

WANAWAKE waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao wameshauriwa kubeba ajenda za haki za wanawake bila kujali itikadi za vyama vyao na kuhakikisha wanazisemea kadri watakavyoweza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Watanzania waombwa kuchagua wagombea wa CCM

 

Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi Kata ya Kisarawe II jijini Dar es Salaam Issa Zahoro amewataka watanzania kufanya uchaguzi sahihi Oktoba 25 mwaka kwa kuwachagua wagombea wa CCM.

Amesema kuichagua CCM ni njia pekee ambayo itaweza kuifanya Tanzania kuendeleza amani iliyopo kwani hakuna chama kingine chenye Sera zinazotekelezeka zaidi ya Chama hicho.

 

Akizundua Kampeni za Udiwani, Kisarawe II Kigamboni Jijini Dar Es Salaam, Zahoro amesema hakuna asiyefahamu kwamba CCM imefanikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE MORO WAOMBWA KUSAIDIA KUFICHUA WAHALIFU.



Na John Nditi, Morogoro
MKUU wa Mkoa wa Morogoro pichani kati, Dk Rajab Rutengwe, amewaomba  wanawake kuanzia ngazi ya mitaa, vitongoji,  vijiji na kata  kushiriki katika suala la ulinzi shirikishi kwa  kuwafichua wahalifu  wanaotishia kuhatarisha uvujifu wa amani ndani ya  mkoa.
Dk Rutengwe alitoa rai hiyo wakati alipozungumza na wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Morogoro , Julai 24, 2015  wilayani Kilosa baada ya kutangazwa kwa  matokeo ya uchaguzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Agentina waandamana kutetea wanawake

Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Argentina , Buenos Aires kupinga mateso dhidi ya mwanamke

 

11 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE WAJASIRIMALI

DSC_0935 Mwenyekiti wa Tancraft, Elihaika Mrema akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa jumuiya kubwa za wafanyabiashara na pamoja na serikali kuwaunga mkono wajasirimali wanawake nchini, Kushoto ni Esther Kasenga Msaidizi wa Katibu, Kulia Mweka hazina wa Chama cha Tancraft, Bi.Louise Judicate na Wapili kulia ni Katibu wa Tancraft, Bi. Vicky Shayo.
Na Damas Makangale
WAMILIKI Wote wa maeneo ya biashara nchini wameombwa kutoa nafasi ya maeneo ya biashara kwa wajasirimali wanawake ili...

 

5 years ago

Michuzi

SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.


Na.Vero Ignatus.
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KWANZA LA KIPEKEE LA KUWAWEZESHA WANAWAKE NA VIJANA

Pichani wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment ya jiji Dar,akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Serena Hotel,kuhusiana  tamasha la kwanza na la aina yake kufanyika nchini Tanzania, lenye lengo la kuongeza na kuchochea uelewa wa wanawake katika kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiwekea akiba.
 “Tamasha hili limeandaliwa ili kuwaonesha wanawake na vijana umuhimu wa kuweka akiba, aina tofauti...

 

11 years ago

GPL

WAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE WAJASIRIMALI‏

Mwenyekiti wa Tancraft, Elihaika Mrema akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa jumuiya kubwa za wafanyabiashara na pamoja na serikali kuwaunga mkono wajasirimali wanawake nchini, Kushoto ni Esther Kasenga Msaidizi wa Katibu, Kulia Mweka hazina wa Chama cha Tancraft, Bi.Louise Judicate na Wapili kulia ni Katibu wa Tancraft, Bi. Vicky Shayo. Pichani juu na chini ni Baadhi ya Wajasiriamali Wanawake wakifuatilia hotuba ya...

 

11 years ago

Michuzi

BAN KI MOON AWACHAGIZA WANAWAKE KUENDELEA KUTETEA FURSA SAWA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akifungua mkutano wa 58 wa Kamisheni kuhusu Hali ya Wanawake ( CSW) Mkutano huu wa wiki mbili unafanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, na unawakutanisha wanawake wa kada mbalimbali kutoka Serikali Kuu na Asasa za Kiraia. Akifungua mkutano, Katibu Mkuu, pamoja na mambo mengine amewataka wanawake kuendelea kutetea fursa za kijinsia, kupinga ubaguzi wa aina zote na kuhakikisha kwamba sauti ya wanawake na watoto wa kike inaendele...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani