Watanzania waombwa kuchagua wagombea wa CCM
Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi Kata ya Kisarawe II jijini Dar es Salaam Issa Zahoro amewataka watanzania kufanya uchaguzi sahihi Oktoba 25 mwaka kwa kuwachagua wagombea wa CCM.
Amesema kuichagua CCM ni njia pekee ambayo itaweza kuifanya Tanzania kuendeleza amani iliyopo kwani hakuna chama kingine chenye Sera zinazotekelezeka zaidi ya Chama hicho.
Akizundua Kampeni za Udiwani, Kisarawe II Kigamboni Jijini Dar Es Salaam, Zahoro amesema hakuna asiyefahamu kwamba CCM imefanikiwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV02 Sep
Wakazi Magu waombwa kuchagua viongozi watakao tatua changamoto ya maji.
Wakazi wa Magu mkoani Mwanza wameelezwa kuwa njia pekee ya kutatua matatizo ya kijamii ikiwemo ukosefu wa maji katika jimbo hilo ni kuchagua viongozi wanaokerwa na matatizo yanayoikumba jamii nzima na sio tatizo la mtu mmojammoja.
Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu amesema jimbo la Magu linakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo tatizo la maji ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka pamoja na changamoto mbalimbali zinazo ikabili jamii..
Katika ufunguzi wa kampeni katika jimbo la Magu...
9 years ago
Habarileo28 Aug
Wagombea uongozi wanawake waombwa kutetea ujinsia
WANAWAKE waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao wameshauriwa kubeba ajenda za haki za wanawake bila kujali itikadi za vyama vyao na kuhakikisha wanazisemea kadri watakavyoweza.
10 years ago
StarTV05 Jan
Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.
Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...
9 years ago
GPLTGNP YAWAASA WATANZANIA KUCHAGUA VIONGOZI BORA
9 years ago
StarTV12 Oct
Pinda awataka watanzania kuchagua Rais mwajibikaji
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi taifa Mizengo Pinda amewataka watanzania kutofanya makosa kuwachagua wagombea wasiokuwa na uwezo wakuongoza na kuleta maendeleo ya kweli akidai kuwa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kufanya mabadiliko ya kweli kwa awamu ya tano.
Pinda amezungumza hayo katika vijiji vya Mwamapuli na Usevya kwenye mikutano ya hadhara ya kumnadi mgombea urais wa CCM pamoja na mbunge ...
10 years ago
MichuziDEGE ECO - VILLAGE WASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA, WATANZANIA WAOMBWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUNUNUA NYUMBA
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Watanzania waombwa kutembelea banda la Access Bank lililopo sabasaba ili wajipatie mkopo wa chap chap
Wafanyakazi wa Access Benki, Frida Moshi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Access Benki, Catherine Gyumi akielezea machache wakati akihojiwa na Channel 10 kuelezea huduma wanazozitoa ndani ya banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo...
10 years ago
GPLWATANZANIA WAOMBWA KUTEMBELEA BANDA LA ACCESS BENKI LILILOPO SABASABA ILI WAJIPATIE MKOPO WA CHAP CHAP