Pinda awataka watanzania kuchagua Rais mwajibikaji
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi taifa Mizengo Pinda amewataka watanzania kutofanya makosa kuwachagua wagombea wasiokuwa na uwezo wakuongoza na kuleta maendeleo ya kweli akidai kuwa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kufanya mabadiliko ya kweli kwa awamu ya tano.
Pinda amezungumza hayo katika vijiji vya Mwamapuli na Usevya kwenye mikutano ya hadhara ya kumnadi mgombea urais wa CCM pamoja na mbunge ...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Oct
Wafanyabiashara Samunge Arusha wataka Rais mwajibikaji
Wafanyabiashara wa soko la Samunge jijini Arusha wameeleza shauku ya kutaka kuwa na Rais atakayewasaidia kutatua kero zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo kusimamia sera na mazingira rafiki yatakayowawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo kunufaika kiuchumi. Kero kubwa ya wafanyabiashara hao ni kutokuwa na maeneo ya uhakika yatakayoondoa mivutano kati yao na Serikali. Wakizungumza sokoni hapa wafanyabiashara hawa wameutaka uongozi wa serikali ijayo kuboresha sekta ya wafanyabiashara hususan kwa...
10 years ago
StarTV05 Jan
Watanzania waaswa kuchagua viongozi waadilifu.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amesema umefika wakati wa watanzania kupiga vita vitendo vya kifisadi kwa kuchagua viongozi wazalendo na waadilifu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Amesema vitendo vya kifisadi pamoja na rushwa vinakwamisha maendeleo ya Tanzania hali inayosababisha uchumi wa nchi kukua wakati watanzania wakiendelea kubaki masikini.
Waziri Membe amesema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya...
9 years ago
StarTV09 Sep
Watanzania waombwa kuchagua wagombea wa CCM
Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi Kata ya Kisarawe II jijini Dar es Salaam Issa Zahoro amewataka watanzania kufanya uchaguzi sahihi Oktoba 25 mwaka kwa kuwachagua wagombea wa CCM.
Amesema kuichagua CCM ni njia pekee ambayo itaweza kuifanya Tanzania kuendeleza amani iliyopo kwani hakuna chama kingine chenye Sera zinazotekelezeka zaidi ya Chama hicho.
Akizundua Kampeni za Udiwani, Kisarawe II Kigamboni Jijini Dar Es Salaam, Zahoro amesema hakuna asiyefahamu kwamba CCM imefanikiwa...
9 years ago
GPLTGNP YAWAASA WATANZANIA KUCHAGUA VIONGOZI BORA
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Saa 144 za uamuzi wa kuchagua rais
11 years ago
Habarileo20 May
Malawi kuchagua Rais, wabunge leo
WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Raia wa Nigeria kuchagua rais mpya
9 years ago
Habarileo26 Oct
Yanga wadamka kuchagua Rais, waenda Shinyanga
WACHEZAJI wa Yanga jana walilazimika kuamka mapema zaidi kujipanga katika vituo vya kupigia kura ili wakamilishe haki yao ya kikatiba na kisha waanze safari ya mkoani Shinyanga kuifuata Stand United ya huko.
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Wapiga kura milioni 13 kuchagua rais Sudan