Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saa 144 za uamuzi wa kuchagua rais

Zimesalia saa 144 za kampeni ambazo wagombea wa vyama vyote vya siasa watazitumia kutupa karata zao za mwisho wakilenga kupata ushawishi wa mwishomwisho na hatimaye kunyakua ushindi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Malawi kuchagua Rais, wabunge leo

WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Nigeria kuchagua rais mpya

Mamilioni ya wapiga kura hii leo wanapiga kura nchini Nigeria kwenye uchaguzi wa urais wa kinyang'anyiro kikali

 

9 years ago

Habarileo

Yanga wadamka kuchagua Rais, waenda Shinyanga

WACHEZAJI wa Yanga jana walilazimika kuamka mapema zaidi kujipanga katika vituo vya kupigia kura ili wakamilishe haki yao ya kikatiba na kisha waanze safari ya mkoani Shinyanga kuifuata Stand United ya huko.

 

9 years ago

StarTV

Pinda awataka watanzania kuchagua Rais mwajibikaji

Mjumbe wa kamati  kuu  ya  Chama  cha  Mapinduzi  taifa  Mizengo Pinda amewataka watanzania kutofanya makosa kuwachagua wagombea wasiokuwa na uwezo wakuongoza na kuleta maendeleo ya kweli akidai kuwa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli  ndiye kiongozi mwenye uwezo  wa  kufanya  mabadiliko  ya  kweli  kwa  awamu  ya  tano.

Pinda amezungumza hayo katika  vijiji  vya  Mwamapuli  na  Usevya  kwenye  mikutano  ya  hadhara  ya  kumnadi  mgombea  urais   wa  CCM  pamoja  na  mbunge ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura milioni 13 kuchagua rais Sudan

Wapiga kura milioni 13 wanashiriki uchaguzi mkuu kuamua nani kati ya wagombea 15 wa urais akiwemo rais Omar el Bashir atawangoza

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Guinea Bissau kuchagua rais mpya

Uchaguzi wa urais na maeneo bunge unafanyika katika taifa dogo la afrika magharibi Guinea Bissau.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA kuchagua rais mpya Februari 2016

Shirikisho la soka duniani Fifa litaandaa kongamano la dharura kuchagua rais mpya tarehe 26 mwezi februari mwakani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Myanmar aonya dhidi ya kuchagua upinzani

Rais wa Myanmar Thein Sein amewaonya raia wa nchi hiyo dhidi ya kupigia kura chama cha upinzani cha Aung San Suu-Kyi.

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Mdogo kuchagua rais Nchini Zambia wafanyika leo

Msururu wa wapiga kura katika kitongoji cha Kanyama nje ya jiji la Lusaka leo asubuhi                                           

 Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo tangu ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London Uingereza alikokwenda kwenye matibabu. Rais Sata aliingia madarakani Septemba 2011.
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani