FIFA kuchagua rais mpya Februari 2016
Shirikisho la soka duniani Fifa litaandaa kongamano la dharura kuchagua rais mpya tarehe 26 mwezi februari mwakani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Raia wa Nigeria kuchagua rais mpya
11 years ago
BBCSwahili13 Apr
Raia wa Guinea Bissau kuchagua rais mpya
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
FIFA yamuunga rais mpya wa soka Nigeria
9 years ago
Michuzi01 Jan
Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016, Christian Bella Aweka Rekodi Mpya!
![bella (69)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-69.jpg)
![bella (71)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-71.jpg)
![bella (73)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-73.jpg)
![bella (74)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-74.jpg)
![bella (75)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-75.jpg)
11 years ago
Habarileo07 Feb
Bunge la Katiba mpya Februari 18
KIKAO cha kwanza cha Bunge la Katiba, kitaanza rasmi Februari 18 mwaka huu kwa kuchagua viongozi wa Bunge hilo, kuapishana na baadaye kuzinduliwa rasmi. Muda wa Bunge hilo unatarajiwa kuwa siku 70 lakini kama maafikiano yatakuwa hayajafikiwa, kitaongezwa siku 20 kujadili rasimu hiyo ya pili ya Katiba na kupata Katiba itakayopigiwa kura na Watanzania.
11 years ago
Habarileo20 May
Malawi kuchagua Rais, wabunge leo
WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Saa 144 za uamuzi wa kuchagua rais
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Rais wa Myanmar aonya dhidi ya kuchagua upinzani
9 years ago
Habarileo26 Oct
Yanga wadamka kuchagua Rais, waenda Shinyanga
WACHEZAJI wa Yanga jana walilazimika kuamka mapema zaidi kujipanga katika vituo vya kupigia kura ili wakamilishe haki yao ya kikatiba na kisha waanze safari ya mkoani Shinyanga kuifuata Stand United ya huko.