Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara Samunge Arusha wataka Rais mwajibikaji

Wafanyabiashara wa soko la Samunge jijini Arusha wameeleza shauku ya kutaka kuwa na Rais atakayewasaidia kutatua kero zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo kusimamia sera na mazingira rafiki yatakayowawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo kunufaika kiuchumi. Kero kubwa ya wafanyabiashara hao ni kutokuwa na maeneo ya uhakika yatakayoondoa mivutano kati yao na Serikali. Wakizungumza sokoni hapa wafanyabiashara hawa wameutaka uongozi wa serikali ijayo kuboresha sekta ya wafanyabiashara hususan kwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI MKOA WA ARUSHA YAPIGA KAMBI SAMUNGE KUONA WAFANYABIASHARA WAKIANZA KAZI


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Arusha kwenye Soko la Samunge kuhakikisha Serikali inaweka miundombinu sawa kwa haraka ili wafanyabiashara kazi zao picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Gambo akiwa amepiga kambi soko la Samunge akipata Staftahi ya Uji kutoka kwa wafanyabiashara hao wadogo huku akitoa maelekezo baada ka kamati ya ulinzi na Usalama pamoja na serikali ya Mkoa kupiga kambi kwa siku nzima ya leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha

 

9 years ago

StarTV

Pinda awataka watanzania kuchagua Rais mwajibikaji

Mjumbe wa kamati  kuu  ya  Chama  cha  Mapinduzi  taifa  Mizengo Pinda amewataka watanzania kutofanya makosa kuwachagua wagombea wasiokuwa na uwezo wakuongoza na kuleta maendeleo ya kweli akidai kuwa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli  ndiye kiongozi mwenye uwezo  wa  kufanya  mabadiliko  ya  kweli  kwa  awamu  ya  tano.

Pinda amezungumza hayo katika  vijiji  vya  Mwamapuli  na  Usevya  kwenye  mikutano  ya  hadhara  ya  kumnadi  mgombea  urais   wa  CCM  pamoja  na  mbunge ...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI MKOA WA ARUSHA YAIMARISHA ULINZI NA USALAMA ZOEZI LA WAMACHINGA SAMUNGE


Wamachinga wakiwa kwenye eneo la Soko la Samunge wakijiandaa kuanza Ujenzi wa vibanda vyao Mara baada ya zoezi la kugawa maeneo lilipoanza picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Michoro ya mgao wa maeneo ya vibanda vya soko la Samunge kama vinavyoonekana Leo Mara baada ya zoezi hilo la ugawaji kuanza Jana na Leo huku wengine wakianza kama walivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.













Ujenzi ukiendelea kama unavyoonekana pichani leo ndani ya eneo la soko la Samunge hilo ni eneo la Mashariki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wataka umoja EA

BAADHI ya wafanyabiashara walioshiriki Maonyesho ya Sabasaba katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kutoka nchini Kenya, wameitaka Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EA) kuondoa vikwazo mipakani kwa nia ya kuendeleza...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wataka serikali kuwajibika mgomo wa wafanyabiashara

Naibu Spika Job NdugaiWABUNGE wameitaka Serikali kuharakisha mazungumzo yake kuhusu tatizo lililopo la mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima, ili suala hilo lipatiwe ufumbuzi mapema.

 

9 years ago

Habarileo

Wanachama CCM wataka uongozi Arusha ufukuzwe

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anapaswa kuwaambia viongozi wote wa chama hicho Wilaya ya Arusha na Mkoa kujiuzulu mara moja.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AWATUMBUA RC GAMBO, MKUU WA WILAYA YA ARUSHA NA MKURUGENZI WA ARUSHA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Juni, 2020 ametengua uteuzi wa viongozi 3 wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo.


Kwanza,Mhe. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo na amemteua Bw. Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.


Kabla ya uteuzi huo Bw. Kimanta alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha. Nafasi ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli itajazwa baadaye.


Pili,Mhe. Rais...

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyofanyika siku ya jana, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani