Wanachama CCM wataka uongozi Arusha ufukuzwe
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anapaswa kuwaambia viongozi wote wa chama hicho Wilaya ya Arusha na Mkoa kujiuzulu mara moja.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Aug
Uongozi wa CCM Arusha, Nangole na Kadogoo watimukia CHADEMA
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kuhamia rasmi chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha Isaac Joseph Maarufu kama Kadogoo. (Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Chama cha Mapinduzi kimeendelea kupoteza wanachama wake mara baada Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Onesmo Nangole pamoja na Katibu Mwenezi wa Mkoa...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA KISHINDO MKOANI ARUSHA,AVUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 4000
10 years ago
VijimamboWanachama wa Vikoba Wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kongamano la Wanachama wa Vikoba Arusha.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
CUF yahimiza wanachama kuwania uongozi
CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya Bukoba Mjini, mkoani Kagera, kimewataka wanachama na wakereketwa wa chama hicho kuhamasishana kukipa nguvu chama pamoja na kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi katika...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
CHADEMA yahimiza wanachama kugombea uongozi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kimewahimiza wanachama wake kugombea uongozi katika nafasi za udiwani na uenyeviti wa serikali za mitaa katika chaguzi zijazo ili kuwaondolea kero...
10 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboKUMEKUCHA CCM,MKAPA,MWINYI WAJITOSA "KUCHINJA" MAJINA YA WATAKA URAIS CCM,
Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya kamati kuu ya chama mapinduzi CCM akijakutana kwa ajili ya “kufyeka” majina 37 kati ya 42 ya makada wake waliojitokeza na kuwania Urais ndani ya chama hicho,sasa jukumu lingine lawaangukia viongozi wastaafu wa chama hicho.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.Viongozi hao ambao ni marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa ambao wote kwa pamoja wataunda Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kufanya kikao wakati wowote wiki hii...
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake siku ya jana. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo akiwaapisha wanachama wapya wa CCM Kikundi cha akina mama kikitoa burudani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
StarTV24 Oct
Wafanyabiashara Samunge Arusha wataka Rais mwajibikaji
Wafanyabiashara wa soko la Samunge jijini Arusha wameeleza shauku ya kutaka kuwa na Rais atakayewasaidia kutatua kero zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo kusimamia sera na mazingira rafiki yatakayowawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo kunufaika kiuchumi. Kero kubwa ya wafanyabiashara hao ni kutokuwa na maeneo ya uhakika yatakayoondoa mivutano kati yao na Serikali. Wakizungumza sokoni hapa wafanyabiashara hawa wameutaka uongozi wa serikali ijayo kuboresha sekta ya wafanyabiashara hususan kwa...