Wabunge wataka serikali kuwajibika mgomo wa wafanyabiashara
WABUNGE wameitaka Serikali kuharakisha mazungumzo yake kuhusu tatizo lililopo la mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima, ili suala hilo lipatiwe ufumbuzi mapema.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMPOGOLO: WABUNGE, MADIWANI WALIOSHINDWA KUWAJIBIKA KWA WAPIGA KURA WAO HAWATAPITISHWA KUGOMBEA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa wabunge na madiwani walioshindwa kuwajibika kwa wapiga kura wao, hawatapitishwa tena katika mchakato wa uchaguzi mwaka huu. Msimamo huo ulitolewa juzi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo akiwa wilayani Korogwe mkoani Tanga.
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa
WAFANYABIASHARA wa maduka kwenye mikoa mbalimbali nchini wamegoma kufungua maduka yao kwa madai kuwa serikali imeshindwa kusikiliza kilio chao cha kutaka mashine za kielektroniki (EFD) zishushwe bei. Mashine hizo zinatolewa...
10 years ago
Uhuru NewspaperWafanyabiashara wasitisha mgomo
NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).
Mgomo huo uliodumu kwa saa kadhaa, ulileta usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi waliofika kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali, hususan maeneo ya Kariakoo.
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa Kariakoo
Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAFANYABIASHARA wa maduka ya soko la Kariakoo wameanza mgomo kwa muda usiojulikana kuanzia jana, sambamba na kuishinikiza Serikali kupunguza kodi ya asilimia 18 wanayotozwa kupitia mashine za kielektroniki (EFDs).
Wamefikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya TRA kutangaza...
10 years ago
GPLWAFANYABIASHARA KARIAKOO WAHAIRISHA MGOMO
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo
WAFANYABIASHARA ya maduka katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wameingia katika siku ya tatu ya mgomo usiokuwa na kikomo, hali ambayo imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa manispaa...
10 years ago
MichuziMGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO
Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa nje ya maduka yao mara baada ya kuamua kuyafunga kwa kile wanaochodai kufanya mgomo kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Johnson Minja ambaye kesi yake inasikilizwa mkoani Dodoma.
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya maduka yaliyoko Double road.
Maduka yaliyopo katika jengo la Halmashauri ya manispaa ya Moshi lenye ghorofa mbili pia hali ilikuwa hivi.
Pilika pilika zilizozoeleka katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi...
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Ndugai aibukia sakata la mgomo wa wafanyabiashara
10 years ago
MichuziMGOMO WA WAFANYABIASHARA IRINGA BAADHI WAGOMA KUSHIRIKIA
Baadhi ya Maduka yakiwa yamefungwa kutokana na mgomo unaoendelea wa wafanyabiashara nchini.Moja kati ya maduka mjini...