MGOMO WA WAFANYABIASHARA IRINGA BAADHI WAGOMA KUSHIRIKIA
Wananchi mbalimbali wa mji wa Iringa wakiwa katika soko kuu mjini humo kupata huduma zao wakati sehemu mbali mbali huduma zikiwa zimesitishwa kufuatia mgomo wa wafanyabiashara nchini, kushinikiza jeshi la polisi kumwachia huru mwenyekiti wao wa chama cha wafanyabiashara nchini Bw Johnson Minja anayedaiwa kushikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano.
Baadhi ya Maduka yakiwa yamefungwa kutokana na mgomo unaoendelea wa wafanyabiashara nchini.
Moja kati ya maduka mjini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v3DYtXKaFNqRYeXMviWMp60BG7aU0jJE5q79G3VJrsh9NDFoEkkoMH8gSyt5ePPN9Ufvqb7zraaKQ5o-P5IAwpacef1DAKqi/MGOMO.jpg)
WAFANYABIASHARA MUSOMA WAGOMA
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Wafanyabiashara Mwanza wagoma
![Jiji la Mwanza](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/jiji-la-mwanza.jpg)
Jiji la Mwanza
SITTA TUMMA NA PETER FABIAN, MWANZA
WAFANYABIASHARA jijini hapa wamegoma. Mgomo huo ulianza jana asubuhi baada ya wafanyabiashara hao kusitisha huduma zote kwa kile walichoeleza kuwa ni kutoridhishwa na gharama za ushuru wanazotozwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Mgomo huo unafanyika ikiwa ni siku moja kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kufanya ziara ya kiserikali jijini hapa.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) Jiji la Mwanza, Christopher Wambura,...
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Wafanyabiashara wa Nyama Kibaha wagoma
Na Mwandishi wetu
Wafanyabiashara wa mabucha mjini Kibaha wamegoma kufanya shughuli hiyo kufuatia halmashauri ya mji wa Kibaha kuwahamisha kutoka machinjio ya awali na kuwapeleka katika machinjio mpya ambayo hawakuridhika nayo kutokana na kukosekana kwa miundombinu ya kutosha.
Msemaji wa wafanyabiashara aliyejitambulisha kwa jina la Bw.Athuman Mkanga amesema wao wameamuamua kuchukua uamuzi huo kufuatia halmashauri kutoa tamko la lazima ambalo linawataka wao kuhamia eneo hilo na...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa
WAFANYABIASHARA wa maduka kwenye mikoa mbalimbali nchini wamegoma kufungua maduka yao kwa madai kuwa serikali imeshindwa kusikiliza kilio chao cha kutaka mashine za kielektroniki (EFD) zishushwe bei. Mashine hizo zinatolewa...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-_S5sGTcbJPU/VAbkK_zC-kI/AAAAAAAABmk/ooEHYkaCJy0/s72-c/prima.jpg)
Wafanyabiashara wasitisha mgomo
NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).
![](http://4.bp.blogspot.com/-_S5sGTcbJPU/VAbkK_zC-kI/AAAAAAAABmk/ooEHYkaCJy0/s1600/prima.jpg)
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo
WAFANYABIASHARA ya maduka katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wameingia katika siku ya tatu ya mgomo usiokuwa na kikomo, hali ambayo imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa manispaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Zf7js0lkpBquKw8uz*0K1S9TpuFVnOFxVWS675g1yHAf0qmLt8TbkKOguv83KDrk0qs-PFGS94lc4cRRaD2bdgRsQYPg*B29/IMG20140908WA0005.jpg)
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAHAIRISHA MGOMO
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa Kariakoo
![Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Kariakoo.jpg)
Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAFANYABIASHARA wa maduka ya soko la Kariakoo wameanza mgomo kwa muda usiojulikana kuanzia jana, sambamba na kuishinikiza Serikali kupunguza kodi ya asilimia 18 wanayotozwa kupitia mashine za kielektroniki (EFDs).
Wamefikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya TRA kutangaza...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Daladala wagoma Iringa,nauli zapaa