Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara Mwanza wagoma

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

SITTA TUMMA NA PETER FABIAN, MWANZA

WAFANYABIASHARA jijini hapa wamegoma. Mgomo huo ulianza jana asubuhi baada ya wafanyabiashara hao kusitisha huduma zote kwa kile walichoeleza kuwa ni kutoridhishwa na gharama za ushuru wanazotozwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Mgomo huo unafanyika ikiwa ni siku moja kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kufanya ziara ya kiserikali jijini hapa.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) Jiji la Mwanza, Christopher Wambura,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA MWANZA WAGOMA, KISA MWENYEKITI WAO KUNYIMWA DHAMANA

Baadhi ya maduka katika mitaa mbalimbali mkoani Mwanza yakiwa yamefungwa huku wananchi wakihangaika kutafuta huduma hiyo. Asilimia kubwa ya maduka yamefungwa. ...Hali ilikuwa hivi katika mitaa mbalimbali jijini Mwanza. Na Johnson James, GPL /  Mwanza WAFANYABIASHARA wanaofanya shughuli…

 

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA MUSOMA WAGOMA

Hayo ni baadhi ya maduka ya wafanyabiashara wa Musoma yaliyofungwa. Maduka ya dawa yakiwa yamefungwa pia. Wafanyabishara Musoma wamegoma kuendelea na biashara wakishinikiza T.R.A kurekebisha mashine  za kodi.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyabiashara wa Nyama Kibaha wagoma

machinjo

Na Mwandishi wetu

Wafanyabiashara wa mabucha mjini Kibaha wamegoma kufanya shughuli hiyo kufuatia halmashauri ya mji wa Kibaha kuwahamisha kutoka machinjio ya awali na kuwapeleka katika machinjio mpya ambayo hawakuridhika nayo kutokana na kukosekana kwa miundombinu ya kutosha.

Msemaji wa wafanyabiashara aliyejitambulisha kwa jina la Bw.Athuman Mkanga amesema wao wameamuamua kuchukua uamuzi huo kufuatia halmashauri kutoa tamko la lazima ambalo linawataka wao kuhamia eneo hilo na...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA WAFANYABIASHARA IRINGA BAADHI WAGOMA KUSHIRIKIA

Wananchi mbalimbali  wa mji  wa Iringa  wakiwa katika  soko  kuu mjini humo kupata  huduma  zao wakati sehemu mbali mbali huduma  zikiwa  zimesitishwa  kufuatia mgomo  wa wafanyabiashara  nchini, kushinikiza  jeshi la  polisi  kumwachia  huru mwenyekiti  wao  wa chama  cha  wafanyabiashara  nchini Bw  Johnson  Minja anayedaiwa  kushikiliwa na  jeshi la polisi kwa mahojiano.
Baadhi ya Maduka yakiwa yamefungwa kutokana na mgomo unaoendelea wa wafanyabiashara nchini.Moja  kati  ya  maduka  mjini...

 

10 years ago

Mwananchi

TCCIA, wafanyabiashara watofautiana Mwanza

Mvutano mkali umeibuka kati ya Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Mwanza (JMWM) kwenye kikao na Mkurugenzi wa jiji, Halfa Hida.

 

10 years ago

Habarileo

Jiji, wafanyabiashara Mwanza wazika tofauti

Hassan HidaUONGOZI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza umesema kuwa umeumaliza mgomo wa takribani siku tatu ambao umekuwa ukifanywa na wafanyabiashara wa kati jijini hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYABIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUGA KUMSAPOTI MWENYEKITI WAO MINJA


Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara jijini Mwanza, yakiwa yamefungwa leo Jumatano Februari 11, 2015, wakidai ni njia ya 'kumsapoti' mwenyekiti wa taifa wa jumuiya wafanyabiashara, Johnson Minja, aliyepanda kizimbani kwa mara ya pili leo Jumatano Februari 11, 2015 kwenye mahakama moja mjini Dodoma. Minja anashtakiwa kwa kuchochea wafanyabiashara mjini Dodoma watende kosa la jinai madai aliyoyakanusha kortini.Minja, (Kulia), akiongozana na wakili wake, Godfrey Waonga wakati akiwasili...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AZINDUA FILAMU MPYA YA 'I LOVE MWANZA' JIJINI MWANZA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisadiwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, kukata utepe kuzindua filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’ iliyoandaliwa na Lake Zone Youth Empowerment Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media Tanzania Ltd, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza Jumamosi usiku. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa watatu kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani