Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYABIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUGA KUMSAPOTI MWENYEKITI WAO MINJA


Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara jijini Mwanza, yakiwa yamefungwa leo Jumatano Februari 11, 2015, wakidai ni njia ya 'kumsapoti' mwenyekiti wa taifa wa jumuiya wafanyabiashara, Johnson Minja, aliyepanda kizimbani kwa mara ya pili leo Jumatano Februari 11, 2015 kwenye mahakama moja mjini Dodoma. Minja anashtakiwa kwa kuchochea wafanyabiashara mjini Dodoma watende kosa la jinai madai aliyoyakanusha kortini.Minja, (Kulia), akiongozana na wakili wake, Godfrey Waonga wakati akiwasili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADHI YA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR WAFUNGA MADUKA KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO

Baadhi ya maduka Mtaa wa Gerezani, Kariakoo yakiwa yamefungwa leo. Mbali na maduka mengine kufungwa, baadhi ya maduka yalikuwa wazi yakiendelea kutoa huduma kwa wateja. Baadhi ya wafanyabiashara…

 

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA MWANZA WAGOMA, KISA MWENYEKITI WAO KUNYIMWA DHAMANA

Baadhi ya maduka katika mitaa mbalimbali mkoani Mwanza yakiwa yamefungwa huku wananchi wakihangaika kutafuta huduma hiyo. Asilimia kubwa ya maduka yamefungwa. ...Hali ilikuwa hivi katika mitaa mbalimbali jijini Mwanza. Na Johnson James, GPL /  Mwanza WAFANYABIASHARA wanaofanya shughuli…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Kibaha wafunga maduka

WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 wa mji wa Kibaha Mkoani Pwani, wamefunga maduka yao kuwaunga mkono wafanyabiashara saba waliofungiwa maduka na Mamlaka ya Mapato (TRA), mkoani hapa kutokana na kukosa mashine...

 

10 years ago

Habarileo

Kariakoo wafunga maduka, kumsaka bosi wao

Naibu Kamishna Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon SiroWAFANYABIASHARA wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameandamana hadi kituo cha Polisi cha Kati, wakidai wapewe taarifa wapi alipopelekwa Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Johnson Minja.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WAKULIMA WA MELELA, MOROGORO WAFUNGA BARABARA KUSHINIKISHA KUKUTANA NA MKUU WA MKOA WAO

Mabomu ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende kusuluhisha mgogoro uliopo baina yao na wafugaji. 
Wakulima hao ambao wanalima katika Mashamba yaliopo eneo la Mkangazi,Wilayani Mvomero,walilazimika kufunga barabara hiyo ili iwe shinikizo la kufika kwa Mkuu huyo wa Mkoa na kuwasikiliza ikiwezekana kutatua kabisa tatizo lao.
Wakulima hao...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wakaidi mwisho wao Januari

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema ifikapo Januari Mosi mwakani, mfanyabiashara yeyote ambaye hatakuwa na mashine ya elektroniki ya kutolea stakabadhi (EFDS) afunge biashara yake.

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yamuonya Mwenyekiti Jumuiya ya Wafanyabiashara

Johnson MinjaMWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabishara nchini, Johnson Minja (34) ametakiwa kuwaambia wafanyabiashara nchini kuacha kufunga maduka yao na kwenda kusikiliza kesi yake kila inapotajwa.

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA AACHIWA KWA DHAMANA DODOMA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja, (mwenye koti la kahawia), akisindikizwa na mawakili na wafanyabiashara wenzake. MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja ameachiwa kwa dhamana leo jijini Dodoma baada ya kushikiliwa kwa siku sita kufuatia kuondolewa dhamana ya awali kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana. Minja ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanakijiji Hongwa walia na mwenyekiti wao

WANANCHI wa Kijiji cha Hongwa Kata ya Kinamapula Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, wamemlalamikia Mwenyekiti wao kwa ufisadi aliofanya katika miradi ya maendeleo ikiwemo kuuza ng’ombe wa kijiji hicho. Walitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani