Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara Kibaha wafunga maduka

WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 wa mji wa Kibaha Mkoani Pwani, wamefunga maduka yao kuwaunga mkono wafanyabiashara saba waliofungiwa maduka na Mamlaka ya Mapato (TRA), mkoani hapa kutokana na kukosa mashine...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADHI YA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR WAFUNGA MADUKA KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO

Baadhi ya maduka Mtaa wa Gerezani, Kariakoo yakiwa yamefungwa leo. Mbali na maduka mengine kufungwa, baadhi ya maduka yalikuwa wazi yakiendelea kutoa huduma kwa wateja. Baadhi ya wafanyabiashara…

 

10 years ago

Habarileo

Kariakoo wafunga maduka, kumsaka bosi wao

Naibu Kamishna Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon SiroWAFANYABIASHARA wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameandamana hadi kituo cha Polisi cha Kati, wakidai wapewe taarifa wapi alipopelekwa Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Johnson Minja.

 

10 years ago

Habarileo

Wavamia maduka Kibaha na kupora

HUKU ikiwa imepita wiki moja tangu mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Mahoro Mlelwa kupigwa risasi na majambazi na kufa eneo la Maili Moja wilayani Kibaha watu wenye silaha za jadi wamevamia maduka na kupora.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto watekeza maduka Kibaha

MADUKA nane katika mji wa Mailimoja Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wamiliki wa maduka hayo. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya...

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara washinikiza korti kwa kufunga maduka

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson MinjaSIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja, kufutiwa dhamana na Mahakama na kupelekwa rumande, wafanyabiashara sehemu mbalimbali nchini, wamefunga maduka kushinikiza kuachiwa kwa kiongozi wao.

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYABIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUGA KUMSAPOTI MWENYEKITI WAO MINJA


Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara jijini Mwanza, yakiwa yamefungwa leo Jumatano Februari 11, 2015, wakidai ni njia ya 'kumsapoti' mwenyekiti wa taifa wa jumuiya wafanyabiashara, Johnson Minja, aliyepanda kizimbani kwa mara ya pili leo Jumatano Februari 11, 2015 kwenye mahakama moja mjini Dodoma. Minja anashtakiwa kwa kuchochea wafanyabiashara mjini Dodoma watende kosa la jinai madai aliyoyakanusha kortini.Minja, (Kulia), akiongozana na wakili wake, Godfrey Waonga wakati akiwasili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyabiashara wa Nyama Kibaha wagoma

machinjo

Na Mwandishi wetu

Wafanyabiashara wa mabucha mjini Kibaha wamegoma kufanya shughuli hiyo kufuatia halmashauri ya mji wa Kibaha kuwahamisha kutoka machinjio ya awali na kuwapeleka katika machinjio mpya ambayo hawakuridhika nayo kutokana na kukosekana kwa miundombinu ya kutosha.

Msemaji wa wafanyabiashara aliyejitambulisha kwa jina la Bw.Athuman Mkanga amesema wao wameamuamua kuchukua uamuzi huo kufuatia halmashauri kutoa tamko la lazima ambalo linawataka wao kuhamia eneo hilo na...

 

11 years ago

Michuzi

TRA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA YAO NA KUACHA KUENDELEA KUGOMEA MASHINE ZA EFDS

DSCF2699Kaimu kamishna Mkuu wa wa Mamlaka ya mapato Tanzania Rished Bade akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha kuhusu mgomo wa wafanyabiashara hapa Nchini DSCF2695Waandishi wa habari wakiwa kazini DSCF2697Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa walipa kodi Richard Kayombo DSCF2713Mr.Jangala ambaye ni Ajenti wa usafirishaji wa magari ya mikoani akilalamikia hali ya wafanyabiashara kugoma ambapo anadai kuwa imemuathiri kwa kiasi kikubwa kukosa abiria wanaokuja kununua bidhaa za jumla DSCF2700 DSCF2706Shughuli mbalimbali zilidorora hata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani