Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADHI YA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR WAFUNGA MADUKA KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO

Baadhi ya maduka Mtaa wa Gerezani, Kariakoo yakiwa yamefungwa leo. Mbali na maduka mengine kufungwa, baadhi ya maduka yalikuwa wazi yakiendelea kutoa huduma kwa wateja. Baadhi ya wafanyabiashara…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAFANYABIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUGA KUMSAPOTI MWENYEKITI WAO MINJA


Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara jijini Mwanza, yakiwa yamefungwa leo Jumatano Februari 11, 2015, wakidai ni njia ya 'kumsapoti' mwenyekiti wa taifa wa jumuiya wafanyabiashara, Johnson Minja, aliyepanda kizimbani kwa mara ya pili leo Jumatano Februari 11, 2015 kwenye mahakama moja mjini Dodoma. Minja anashtakiwa kwa kuchochea wafanyabiashara mjini Dodoma watende kosa la jinai madai aliyoyakanusha kortini.Minja, (Kulia), akiongozana na wakili wake, Godfrey Waonga wakati akiwasili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Kibaha wafunga maduka

WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 wa mji wa Kibaha Mkoani Pwani, wamefunga maduka yao kuwaunga mkono wafanyabiashara saba waliofungiwa maduka na Mamlaka ya Mapato (TRA), mkoani hapa kutokana na kukosa mashine...

 

10 years ago

Habarileo

Kariakoo wafunga maduka, kumsaka bosi wao

Naibu Kamishna Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon SiroWAFANYABIASHARA wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameandamana hadi kituo cha Polisi cha Kati, wakidai wapewe taarifa wapi alipopelekwa Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Johnson Minja.

 

10 years ago

Michuzi

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, KINGUNGWE AMWAGA WINO HADHARANI KUMUUNGA MKONO

Mwanasiasa Mkongwe hapa nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisani fomu ya udhamini mbele ya Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono mgombea huyo. zoezi hili limefanyika jioni ya leo Juni 27, 2015 kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni, Mkwajuni Jijini Dar. ambapo kwa wilaya ya Kinondoni amepata udhamini wa wanaCCM 95, 251 na kufanya jumla kuu kuwa 212, 150 na kuifanya Dar es salaam kuwa Mkoa wa kwanza kuwa na idadi kubwa ya WanaCCM...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CWT SINGIDA AJIUZULU, ATOA KAULI NZITO, AWAOMBA WALIMU KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho ngazi ya mkoa muda mfupi kabla ya kujiuzulu nafasi yake.
Mwenyekiti mpya wa chama hicho Mkoa wa Singida, Hamis Mtundua akizungumza baada ya kuchaguliwa.
Mtundua akijaza fomu maalamu ya uongozi. Kushoto ni Afisa Kazi Mkoa wa Singida, Boniface Ntalula.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CWT ngazi ya mkoa wakifuatilia uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA CHAMA CHA CUF KUFUATIA MWENYEKITI WAO KUTANGAZA KUJIUZULU LEO JIJINI DAR

Leo tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es Salaam na kutangaza kwamba amejizulu nafasi yake kama Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF).

Sisi kama Chama tumezipokea taarifa hizo na tunayaheshimu maamuzi yake. Ni haki yake ya kikatiba na haki ya kidemokrasia kufanya maamuzi anayoyaona yana maslahi kwake.
Bila shaka, Profesa Ibrahim Lipumba amekifanyia kazi kubwa Chama chetu katika miaka 16 ambayo...

 

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA MWANZA WAGOMA, KISA MWENYEKITI WAO KUNYIMWA DHAMANA

Baadhi ya maduka katika mitaa mbalimbali mkoani Mwanza yakiwa yamefungwa huku wananchi wakihangaika kutafuta huduma hiyo. Asilimia kubwa ya maduka yamefungwa. ...Hali ilikuwa hivi katika mitaa mbalimbali jijini Mwanza. Na Johnson James, GPL /  Mwanza WAFANYABIASHARA wanaofanya shughuli…

 

11 years ago

Dewji Blog

Kigoma kumuunga mkono Kafulika

kafulila

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.

Na Mwandishi wetu

Wananchi wa Kigoma kusini, wamesema wapo tayari kuunganishwa na kesi ya Mbunge wao David Kafulila, wakisema kuwa sasa kiburi cha serikali ya Chama cha Mapinduzi sasa inabidi kifike mwisho.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika Kazuramimba, Basanza na Uvinza, wananchi hao walioonekana kuwa na hasira, walikataa kuuliza maswali mengi badala yake walikuwa wanaomba kuelekezwa utaratibu ili waweze...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani