MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, KINGUNGWE AMWAGA WINO HADHARANI KUMUUNGA MKONO
![](http://4.bp.blogspot.com/-dDC09neOD8g/VY7UXwbTtLI/AAAAAAAHkmk/A_iN27UXIaQ/s72-c/MMGL1678.jpg)
Mwanasiasa Mkongwe hapa nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisani fomu ya udhamini mbele ya Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono mgombea huyo. zoezi hili limefanyika jioni ya leo Juni 27, 2015 kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni, Mkwajuni Jijini Dar. ambapo kwa wilaya ya Kinondoni amepata udhamini wa wanaCCM 95, 251 na kufanya jumla kuu kuwa 212, 150 na kuifanya Dar es salaam kuwa Mkoa wa kwanza kuwa na idadi kubwa ya WanaCCM...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-NnqFSpGuHMY/VY69maCz_HI/AAAAAAAHkfU/2xQke3F9Azo/s72-c/MMGL0288.jpg)
MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150
![](http://3.bp.blogspot.com/-NnqFSpGuHMY/VY69maCz_HI/AAAAAAAHkfU/2xQke3F9Azo/s640/MMGL0288.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-iY7vB1Zowsw/VY69pCNZwTI/AAAAAAAHkfg/Kg7nre7entE/s640/MMGL0326.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Ro1X9pDa3WU/Vc9tF4mE2EI/AAAAAAAAAGc/l3rCL32sy8k/s72-c/tengeru.jpg)
MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA JIJINI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ro1X9pDa3WU/Vc9tF4mE2EI/AAAAAAAAAGc/l3rCL32sy8k/s640/tengeru.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-UmqS5nPVW18/Vc9vX9wvQ2I/AAAAAAAAAIA/suOGZyK7Q8w/s640/MMGL0876.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVK0YidHV6mbrxvBr2aXtVJdfJVlI-LluCuXu7RM-UGiN7b9CJtk-M5hjAFDNN6nsbcV0HvGtiiG86Ju4komTGiE/maduka5.jpg?width=650)
BAADHI YA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR WAFUNGA MADUKA KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-7MQZxzXFXvY/VXiBVsuIBUI/AAAAAAAAUu4/4RlNIRglDr0/s72-c/Lowassa%2B3.jpg)
MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA SIMIYU
![](http://1.bp.blogspot.com/-7MQZxzXFXvY/VXiBVsuIBUI/AAAAAAAAUu4/4RlNIRglDr0/s640/Lowassa%2B3.jpg)
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Sau, APPT kumuunga mkono urais Lowassa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/q8cMkcAPqMM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Jaja amwaga wino Yanga
HATIMAYE Klabu ya Yanga, jana ilimsainisha mkataba wa miaka miwili Mbrazil Geilson Santos Santana ‘Jaja’, wa kukipiga katika kikosi cha timu hiyo kuanzia msimu ujao. Jaja, anakuwa nyota wa pili...
10 years ago
Mtanzania25 May
Mwalyanzi amwaga wino Simba
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KLABU ya Simba imejibu mapigo ya wapinzani wao wa jadi, Yanga, baada ya kumnasa aliyekuwa kiungo wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi na kumpa mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo msimu ujao.
Jana Simba iliangukia pua kwenye mbio za kumnasa winga Deus Kaseke, aliyekuwa amemaliza mkataba wake Mbeya City kama Mwalyanzi, baada ya Yanga kumuwahi na kumsajili.
Wakati Simba ikiinasa saini ya Mwalyanzi, imefanikiwa kuzizidi kete Azam FC na Yanga ambazo awali...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Cheka amwaga wino kuzichapa na Mrusi
BONDIA mahiri wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, jana alimwaga wino kupigana na Mrusi, Valey Brudov, mwezi ujao huku akiitupia lawama serikali kwa kutothamini wanamichezo hapa nchini. Cheka, bondia...