Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kariakoo wafunga maduka, kumsaka bosi wao

Naibu Kamishna Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon SiroWAFANYABIASHARA wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameandamana hadi kituo cha Polisi cha Kati, wakidai wapewe taarifa wapi alipopelekwa Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Johnson Minja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADHI YA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR WAFUNGA MADUKA KUMUUNGA MKONO MWENYEKITI WAO

Baadhi ya maduka Mtaa wa Gerezani, Kariakoo yakiwa yamefungwa leo. Mbali na maduka mengine kufungwa, baadhi ya maduka yalikuwa wazi yakiendelea kutoa huduma kwa wateja. Baadhi ya wafanyabiashara…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Kibaha wafunga maduka

WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 wa mji wa Kibaha Mkoani Pwani, wamefunga maduka yao kuwaunga mkono wafanyabiashara saba waliofungiwa maduka na Mamlaka ya Mapato (TRA), mkoani hapa kutokana na kukosa mashine...

 

11 years ago

GPL

MADUKA DDC KARIAKOO YAWAKA MOTO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka moto!

 

10 years ago

Mwananchi

Maduka Kariakoo sasa biashara kama kawaida

Hatimaye wafanyabiashara wa Kariakoo wamefungua maduka yao baada ya kufikiwa makubaliano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) ya kuunda kamati ya pamoja itakayoshughulikia matatizo yao.

 

9 years ago

GPL

TASWILA BAADHI YA MADUKA YA KARIAKOO KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI

Baadhi ya maduka yaliyopo Kariakoo yakionekana kufungwa kupisha vuguvugu la uchaguzi mkuu. Maduka yaliyopo maeneo ya Msimbazi-Kariakoo yakiwa yamefungwa.…

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYABIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUGA KUMSAPOTI MWENYEKITI WAO MINJA


Baadhi ya maduka ya wafanyabiashara jijini Mwanza, yakiwa yamefungwa leo Jumatano Februari 11, 2015, wakidai ni njia ya 'kumsapoti' mwenyekiti wa taifa wa jumuiya wafanyabiashara, Johnson Minja, aliyepanda kizimbani kwa mara ya pili leo Jumatano Februari 11, 2015 kwenye mahakama moja mjini Dodoma. Minja anashtakiwa kwa kuchochea wafanyabiashara mjini Dodoma watende kosa la jinai madai aliyoyakanusha kortini.Minja, (Kulia), akiongozana na wakili wake, Godfrey Waonga wakati akiwasili...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WAKULIMA WA MELELA, MOROGORO WAFUNGA BARABARA KUSHINIKISHA KUKUTANA NA MKUU WA MKOA WAO

Mabomu ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende kusuluhisha mgogoro uliopo baina yao na wafugaji. 
Wakulima hao ambao wanalima katika Mashamba yaliopo eneo la Mkangazi,Wilayani Mvomero,walilazimika kufunga barabara hiyo ili iwe shinikizo la kufika kwa Mkuu huyo wa Mkoa na kuwasikiliza ikiwezekana kutatua kabisa tatizo lao.
Wakulima hao...

 

9 years ago

GPL

‘RAIS MTARAJIWA’ KANYE WEST NA MKEWE KIM WAHUDHURIA HARUSI YA BOSI WAO

Kanye West na mkewe, Kim Kardashian. Kanye na mkewe, Kim. Kanye West. Mwanamitindo maarufu duniani, Kim Kardashian, alipokuwa akielekea kwenye harusi ya bosi wao. Kanye na Kim New York,…

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABISHARA WANAOMILIKI MADUKA STENDI KUBWA YA MOSHI WAAMUA KUVUNJA KUFULI BAADA YA MANISPAA YA KUYAFUNGA MADUKA HAYO

 
 Na Woinde Shizza,KILIMANJARO

WAFANYABIASHARA 10  wanaomiliki maduka katika eneo la stendi kubwa Moshi mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuvunja kufuli mara baada ya kufungiwa maduka yao   na mgambo wa Manispaa kwa madai kwamba sio wapangaji halali

Wakizungumzia tukio hilo kwa niaba ya wafanyabiashara hao Iren Charles ameleza kwamba wananyanyasika na Mgambo wa Manispaa ya Moshi kwa  kuwavamia na kufunga maduka yao hivyo kukazimika kuvunja kufuli hizo.

Ameeleza kuwa  walifungua kesi Mahakamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani