TASWILA BAADHI YA MADUKA YA KARIAKOO KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI
Baadhi ya maduka yaliyopo Kariakoo yakionekana kufungwa kupisha vuguvugu la uchaguzi mkuu. Maduka yaliyopo maeneo ya Msimbazi-Kariakoo yakiwa yamefungwa.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Sep
Ben Pol ataja sababu 3 za kuachia wimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi
9 years ago
MichuziBASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi kulenga katika kuigawa jamii na kufifisha...
9 years ago
Vijimambo02 Sep
UJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25
Kalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana kuliko wengine hapana ni kwamba tuliaminiwa kwamba tunaweza kutumia midomo yetu na kalamu zetu katika kusema na kuandika ukweli ili tuweze kuelimisha,kutoa habari na hata kuburudisha ikiwezeekana naomba niwashauri tutumie karama zetu vizuri tuache ushabiki ambao hautakuwa na manufaa yeyote kwa...
9 years ago
Dewji Blog14 Aug
Mfugale: “Waandishi jiepusheni na ushabiki wa kisiasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu”
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka mikoa ya Singida, Kigoma, Katavi, Tabora na Shinyanga, wanaohudhuria mafunzo ya siku tano ya uandishi bora wa uchaguzi yanayoendelea kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa Shinyanga.(Picha na Nathaniel Limu).
Mkufunzi Deodatus Mfugale, akitoa mada yake ya daftari la kudumu la wapiga kura kwenye mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yanayoendelea kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa Shinyanga.
Na Nathaniel Limu,...
10 years ago
MichuziMAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI.
5 years ago
CCM Blog22 May
MAPIGO 6 YA JPM KWA MABEBERU KATIKA KIPINDI HIKI CHA CORONA.
*PIGO LA KWANZA HILO*2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watanzania kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
*PIGO LA PILI HILO*3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie tusifanye kazi watuletee misaada kwa masharti yao JPM akasema no HAPA KAZI TU wakashindwa.
*PIGO LA TATU HILO*4:Wakaleta vipimo feki ili watanzania wengi...
9 years ago
MichuziJ&M VIRGO WASHUSHA MALI MPYA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA SIKUKUU
FIKA ILI UWEZE KUJIPATIA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA...
10 years ago
MichuziMkuu wa Mkoa wa Dodoma azungumzia hali ya usalama katika kipindi hiki cha Mikutano ya CCM
5 years ago
BBCSwahili09 Apr
Virusi vya Corona: Je, kodi ya nyumba inastahili kuondoshwa katika kipindi hiki cha janga la Covid-19?