Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma azungumzia hali ya usalama katika kipindi hiki cha Mikutano ya CCM

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mh. Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya uwepo wa Mikutano Mikubwa ya Chama cha Mapinduzi katika Mkoa wake, inayotarajiwa kuanza rasmi kesho Julai 8, 2015, yenye agenda kuu ya kuchagua mgombea wa Urais atakaiwakilisha CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Katika taarifa yake aliyoitoa leo Julai 7, 2015 Ofisini kwake, Mh. Gallawa amesema kuwa Mikutano hiyo itahusisha uwepo wa wageni wengi Mkoani Dodoma, hivyo kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA DODOMA AZUNGUMZIA HALI YA USALAMA KATIKA KIPINDI CHA MIKUTANO YA CCM

Mkuu wa Mkoa Dodoma, Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya uwepo wa Mikutano Mikubwa ya CCM katika mkoa wake, inayotarajiwa kuanza rasmi kesho. Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa wakati akizungumza nao juu ya uwepo wa Mikutano Mikubwa ya Chama cha Mapinduzi katika mkoa wake.… ...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KUIMARISHA ULINZI KATIKA KIPINDI CHA MKUTANO MKUU WA CCM

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ACP David Misime ---JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI    JESHI LA POLISI TANZANIA Nina imani kila mmoja anayo taarifa kuwa wiki hii hapa Dodoma kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.  Mkutano huo utajumuisha Viongozi wa Kitaifa na Wajumbe wengi.  Kutokana na unyeti wa mkutano huo mawazo na masikio ya watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania watayaelekeza katika Mkoa wetu kutaka...

 

9 years ago

Michuzi

BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi kulenga katika kuigawa jamii na kufifisha...

 

9 years ago

Vijimambo

UJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25

Lucy Patrick
Kalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana kuliko wengine hapana  ni kwamba tuliaminiwa kwamba tunaweza kutumia midomo yetu na kalamu zetu katika kusema na kuandika ukweli ili tuweze kuelimisha,kutoa habari na hata kuburudisha ikiwezeekana naomba niwashauri tutumie karama zetu vizuri tuache ushabiki ambao hautakuwa na manufaa yeyote kwa...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA AONGEA NA VIONGOZI WA TARAFA YA DODOMA MJINI KUHUSIANA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA PAMOJA NA MATISHIO YA UGAIDI MKOANI HUMO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime akitoa elimu katika mkutano huo.Balozi Mstaafu Job Lusinde Mwenyekiti wa Baraza la wazee Mkoa wa Dodoma akiongea jambo.Padre Thomas V. Lali Katibu Mkuu jimbo kuu Dodoma akizungumza katika mkutano huo.
Sheke AHMAD SAID akizungumza katika mkutano huo.
  Na Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataka viongozi wa Tarafa ya Dodoma mjini kuwaelimisha...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM APIGA MARUFUKU MAANDAMANO KATIKA KIPINDI CHA KAMPENI.


Jiji la Dar es Salaam limepiga marufu maandamno yeyote ya vyama vya siasa hasa wakati wa kampeni na kwamba kufanya hivyo ni kinyume na sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa chama au wafuasi wowote watakaobainika kufanya maandamo hayo.Agizo hilo kali kwa wafuasi na vyama vya siasa imekuja siku moja tu kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, ambapo kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam vyama vyote vya siasa na wafuasi wao watakaofanya kampeni zao Dar es Salaam hawanabudi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani