Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanakijiji Hongwa walia na mwenyekiti wao

WANANCHI wa Kijiji cha Hongwa Kata ya Kinamapula Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, wamemlalamikia Mwenyekiti wao kwa ufisadi aliofanya katika miradi ya maendeleo ikiwemo kuuza ng’ombe wa kijiji hicho. Walitoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanakijiji Ikama walia kutonufaika na gesi

Wakazi wa Kijiji cha Ikama wilayani Rungwe wameilalamikia Kampuni ya Tanzania Oxgyen Ltd (TOL), inayochimba gesi asilia katika eneo kwa kushindwa kuchangia huduma za jamii kwa wananchi.

 

10 years ago

Mtanzania

ACT walia kiongozi wao kuuawa

Samson-MwigambaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA cha ACT-Tanzania kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwasaka na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wote waliohusika na tukio la mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Masigo wilayani Mlele mkoani Katavi, Christian Kahongo.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, ilieleza kuwa chama hicho kinalaani mauaji hayo ya kinyama ambayo hayaendani na haki za binadamu.

Alisema walimkata kichwa na...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.

 Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care Tanzania, baada ya  kuwasili wote sasa wanapangwa makundi makundi kwa ajili ya kuanza mchakato wa siku Hapa katika kundi la kwanza washiriki wa Shindano la  Mama Shujaa wa Chakula , Shindano linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow hapa wakiwahamasisha wanakijiji cha...

 

10 years ago

Vijimambo

ACT Walia Kiongozi wao Kuuawa......Ni yule Aliyechinjwa Kinyama na Kupikwa kwenye Sufuria kama Nyama ya Kuku

CHAMA cha ACT-Tanzania kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwasaka na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wote waliohusika na tukio la mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Masigo wilayani Mlele mkoani Katavi, Christian Kahongo.Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, ilieleza kuwa chama hicho kinalaani mauaji hayo ya kinyama ambayo hayaendani na haki za binadamu.Alisema walimkata kichwa na kukitenganisha kabisa na kiwiliwili...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wamsimika ‘mwenyekiti’ wao kibabe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana nchini, ulitawaliwa na vituko katika sehemu nyingi, lakini kikubwa ni kile kilichotokea katika Kijiji cha Kambi ya Chokaa, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara baada ya wananchi kumweka madarakani na kumwingiza ofisini Joshua Kuney (CCM) kuwa mwenyekiti wa kijiji hicho, badala ya Mbuki Mollel aliyeteuliwa na chama hicho kuwania nafasi hiyo.

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE UVCCM MORO WAMKATAA MWENYEKITI WAO

Baadhi ya wajumbe wa UVCCM kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Morogoro wakiwa na mabango ya kumkataa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta anayedaiwa kushindwa…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wamshitaki mwenyekiti wao kwa mbunge

WAKAZI wa Kijiji cha Kongogo wilayani hapa mkoani Dodoma, wamemshitaki Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Daudi Husein kwa Mbunge wao, Omar Badwel (CCM), kwa madai ya kujigeuza Mungu mtu katika utendaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana aagiza wananchi kumbana mwenyekiti wao

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameuagiza uongozi na wananchi wa wilayani hapa mkoani Manyara kumbana Mwenyekiti wa Chadema wa wilaya, Augustino Mayomba anayedaiwa kumiliki hati ya mkataba wa mnara wa simu wa Vodacom uliopo Kijiji cha Bassotu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani