Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana aagiza wananchi kumbana mwenyekiti wao

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameuagiza uongozi na wananchi wa wilayani hapa mkoani Manyara kumbana Mwenyekiti wa Chadema wa wilaya, Augustino Mayomba anayedaiwa kumiliki hati ya mkataba wa mnara wa simu wa Vodacom uliopo Kijiji cha Bassotu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wamsimika ‘mwenyekiti’ wao kibabe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana nchini, ulitawaliwa na vituko katika sehemu nyingi, lakini kikubwa ni kile kilichotokea katika Kijiji cha Kambi ya Chokaa, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara baada ya wananchi kumweka madarakani na kumwingiza ofisini Joshua Kuney (CCM) kuwa mwenyekiti wa kijiji hicho, badala ya Mbuki Mollel aliyeteuliwa na chama hicho kuwania nafasi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wamshitaki mwenyekiti wao kwa mbunge

WAKAZI wa Kijiji cha Kongogo wilayani hapa mkoani Dodoma, wamemshitaki Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Daudi Husein kwa Mbunge wao, Omar Badwel (CCM), kwa madai ya kujigeuza Mungu mtu katika utendaji...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana aagiza mawaziri 3 wakutane

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka mawaziri wa wizara tatu kukutana mara moja kupanga namna ya kutatua migogoro inayoendelea ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji pamoja na hifadhi za taifa.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA BODI TEMESA AAGIZA UJENZI KIVUKO MAFIA NYAMISATI KUKAMILISHWA MAPEMA


Muonekano wa kivuko cha MV. Kigamboni ambacho kimefanyiwa ukarabati mkubwa ikiwemo kufungwa injini mpya mbili pamoja na kupakwa rangi upya, kivuko hicho kinatarajiwa kurejea ifikapo mwishoni mwa mwezi Aprili mwaka huu na kitafanya idadi ya vivuko katika eneo la Magogoni Kigamboni kurudi kuwa vitatu.
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiongozwa na Mwenyekiti wao Profesa Eng. Idrissa B. Mshoro (wa tatu kulia) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanakijiji Hongwa walia na mwenyekiti wao

WANANCHI wa Kijiji cha Hongwa Kata ya Kinamapula Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, wamemlalamikia Mwenyekiti wao kwa ufisadi aliofanya katika miradi ya maendeleo ikiwemo kuuza ng’ombe wa kijiji hicho. Walitoa...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE UVCCM MORO WAMKATAA MWENYEKITI WAO

Baadhi ya wajumbe wa UVCCM kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Morogoro wakiwa na mabango ya kumkataa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta anayedaiwa kushindwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani