Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENYEKITI WA BODI TEMESA AAGIZA UJENZI KIVUKO MAFIA NYAMISATI KUKAMILISHWA MAPEMA


Muonekano wa kivuko cha MV. Kigamboni ambacho kimefanyiwa ukarabati mkubwa ikiwemo kufungwa injini mpya mbili pamoja na kupakwa rangi upya, kivuko hicho kinatarajiwa kurejea ifikapo mwishoni mwa mwezi Aprili mwaka huu na kitafanya idadi ya vivuko katika eneo la Magogoni Kigamboni kurudi kuwa vitatu.
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiongozwa na Mwenyekiti wao Profesa Eng. Idrissa B. Mshoro (wa tatu kulia) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Safari ya Kinana kutoka Nyamisati mpaka Mafia kwa boti ya kizamani

16

Ilikiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea Mafia ambapo katibu Mkuu huyo yupo katika ziara ya kikazi ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akikagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, Nilipangiwa kupanda boti hii ya mwendo...

 

10 years ago

GPL

SAFARI YA KINANA KUTOKA NYAMISATI MPAKA MAFIA KWA BOTI YA KIZAMANI‏

Ilikiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea Mafia ambapo katibu Mkuu huyo yupo katika ziara ya kikazi ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akikagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BODI YA MADINI TANZANIA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA CHUO KIKUU

Mchungaji Mwansasu na mgeni rasmi Kasesela wakijadiliana jambo Mchungaji Mwansasu akimuongoza mgeni rasmi Kasesela kuingia kanisani.…

 

11 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA MWANZA NA SINGIDA AZINDUA KIVUKO CHA MV.TEMESA NA KUKAGUA DARAJA LA MBUTU

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na ziara ya kikazi Jijini Mwanza ambapo leo amezindua kivuko cha MV.TEMESA kitakachofanya safari zake kutokea Luchele kupitia mwambao wa ziwa Victoria. Kivuko hiki kimetengenezwa/kimejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 640 na ni kivuko pekee chenye mwedo kasi kuliko vyote Tanzania, kina uwezo wa kubeba tani 65. Wengine walioshiriki katika uzinduzi huo ni Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi), Mhandisi Evarist Ndikilo...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

5 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU TEMESA AKABIDHI MTAMBO KWA CHUO CHA UJENZI MOROGORO


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akikata utepe kuashiria kupokea rasmi mtambo uliotolewa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa Chuo cha Ujenzi Morogoro (MWTI) wakati wa hafla ya kuupokea mtambo huo iliyofanyika chuoni hapo. Katikati ni Mtendaji Mkuu TEMESA Mhandisi Japhet Y. Maselle na kulia ni Mkuu wa chuo hiko Mhandisi Melkizedeck L. Mlyapatali. Pamoja na mtambo huo pia wamekabidhiwa kompyuta kwa ajili ya...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24

Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.

 

11 years ago

GPL

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ngazi katika Kivuko cha Msanga Mkuu MV Mtwara kwa ajili ya kufanya ukaguzi wake leo mjini Dar es Salaam.  Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wa kwanza kulia akipewa maelezo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu(MV Mtwara) kilicho katika hatua za mwisho za matengenezo chini ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani