Kinana aagiza mawaziri 3 wakutane
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka mawaziri wa wizara tatu kukutana mara moja kupanga namna ya kutatua migogoro inayoendelea ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji pamoja na hifadhi za taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 May
JK aagiza mawaziri EAC kwenda Burundi
11 years ago
Mwananchi30 May
Kinana aagiza wananchi kumbana mwenyekiti wao
10 years ago
Habarileo19 Mar
Kinana: Nitarudi na mawaziri kujibu hoja
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kuwapeleka baadhi ya mawaziri kwa jamii ya wafugaji wa Kimasai wanaoishi katika vijiji vilivyopo ndani ya Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro.
10 years ago
Vijimambo02 Dec
Kinana kuwaweka kiti moto mawaziri wanne
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/11/1.AbdulrahmanKinanaKatibuMkuu.jpg)
Mawaziri hao ni wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo; Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda; Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binilith Mahenge.
Aidha, ametoa mwezi mmoja kuhakikisha kila...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Wataalamu washauriwa wakutane
TAASISI ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imesema ipo haja ya wataalamu kukutana kutafuta mbinu za kumwangamizi mdudu mbu kutokana na madhara yake kwa binadamu.
10 years ago
Habarileo10 Jun
Kinana uso kwa uso na mawaziri wawili
KATIBU Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ameahidi kukutana na mawaziri watatu kupata ufumbuzi wa mambo mbalimbali, ikiwemo suala la bei ya kahawa pamoja na uingizaji wa nyavu za uvuvi zisizofaa.
10 years ago
Dewji Blog04 May
Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchi washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!
Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).
Na Andrew Chale, Modewji blog
Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...
10 years ago
Dewji Blog04 May
Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchini, washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!
Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).
Na Andrew Chale, Modewji blog
Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JUPJxGO-oyQ/default.jpg)