Kinana kuwaweka kiti moto mawaziri wanne
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana (pichani), ameahidi kuwaweka kitimoto mawaziri wanne ambao wizara zao zimeonekana kutetereka katika kutimiza majukumu yake kwenye mikoa ya Lindi na Mtwara.
Mawaziri hao ni wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo; Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda; Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binilith Mahenge.
Aidha, ametoa mwezi mmoja kuhakikisha kila...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Apr
Serukamba awekwa kiti moto mbele ya Kinana
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba amejikuta katika wakati mgumu kwenye mkutano wa Halmashauri ya CCM wilaya ya Kigoma Mjini, baada ya kudaiwa na baadhi ya wajumbe kwamba hana ushirikiano na wenzake.
11 years ago
IPPmedia18 Jan
CCM must own up its wrongs if Salim was put to 'kiti moto'
IPPmedia
IPPmedia
We read in one of the newspapers on Thursday that the Central Committee of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), at its meeting held in Zanzibar end of last week questioned former prime minister Salim Ahmed Salim over his failure to defend the party's ...
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Mweka hazina Kibaha awekwa kiti moto
MADIWANI wa Halmashauri ya Mji Kibaha, wamemshukia Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo kutokana na kusuasua kwa malipo ya wakandarasi na watu wengine huku kukiwa hakuna sababu maalumu. Wakizungumza kwa jazba...
10 years ago
Vijimambo24 Feb
Mabilioni Uswisi: Ndullu, Masaju kiti moto Machi 9.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-24Feb2015.jpg)
Mbivu au mbichi za vigogo 99 wa Tanzania waliotajwa kuficha mabilioni ya fedha kwenye akaunti za siri nchini Uswiss zitajulikana hivi karibuni, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema.
Kwa mujibu wa Zitto, PAC imewaita Gavana wa Benki Kuu (BoT), Prof. Benno...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2ZDN9U2ddkk/VMsuF5waGTI/AAAAAAAHATs/CfHA0j5bWqI/s72-c/Untitled1.png)
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Mawaziri wanne OUT
MASHAMBULIZI ya wabunge dhidi ya mawaziri wanne kushindwa kusimamia wizara zao, yamemfanya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wao kuanzia jana. Mawaziri hao ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
WATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...
9 years ago
Habarileo25 Dec
Uteuzi wa mawaziri wanne wapongezwa
UTEUZI wa mawaziri na naibu, uliofanywa na Rais John Magufuli kukamilisha Baraza lake la Mawaziri, umepongezwa na watu wa kada tofauti. Watu hao wamesema wanawakubali walioteuliwa huku wakisisitiza wapewe nafasi na muda, waoneshe utendaji wao.
9 years ago
Habarileo24 Dec
Mawaziri wapya wanne wateuliwa
RAIS John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la Kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.