JK aagiza mawaziri EAC kwenda Burundi
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Jakaya Kikwete ametuma ujumbe kwa mawaziri wa mambo ya nje ya nchi nne kwenda Burundi kuchunguza hali ya kisiasa ilivyo nchini humo kabla ya kuingilia kati.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-7zlYWOV8TuQ/VYLAi_vYh9I/AAAAAAAAevs/4x46kpJdn98/s72-c/18207742664_9a6d918233_z.jpg)
MAWAZIRI WA EAC WAWASILISHA MAAMUZI YA WAKUU WA NCHI KWA RAIS WA BURUNDI
![](http://1.bp.blogspot.com/-7zlYWOV8TuQ/VYLAi_vYh9I/AAAAAAAAevs/4x46kpJdn98/s640/18207742664_9a6d918233_z.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7sxXNwS64L8/VYLAicYb_mI/AAAAAAAAevo/uHlQ4YwNQg0/s640/18642613848_0f396dfe46_z.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7zlYWOV8TuQ/VYLAi_vYh9I/AAAAAAAAevs/4x46kpJdn98/s72-c/18207742664_9a6d918233_z.jpg)
JUST IN: MAWAZIRI WA EAC WAWASILISHA MAAMUZI YA WAKUU WA NCHI KWA RAIS WA BURUNDI
![](http://1.bp.blogspot.com/-7zlYWOV8TuQ/VYLAi_vYh9I/AAAAAAAAevs/4x46kpJdn98/s640/18207742664_9a6d918233_z.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7sxXNwS64L8/VYLAicYb_mI/AAAAAAAAevo/uHlQ4YwNQg0/s640/18642613848_0f396dfe46_z.jpg)
10 years ago
AllAfrica.Com19 May
Burundi: Emergency Meeting of the Ministers of EAC Affairs On Burundi Held in ...
East African Business Week
AllAfrica.com
Arusha — The Ministers of East African Community Affairs on 18th May 2015 in Arusha, held an emergency meeting to address matters emerging in the Republic of Burundi. The meeting was called following the directive issued by the EAC Heads of the State ...
East African leaders to mediate Burundi crisisShanghai Daily (subscription)
E. African ministers to visit...
11 years ago
Habarileo10 Apr
Kinana aagiza mawaziri 3 wakutane
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka mawaziri wa wizara tatu kukutana mara moja kupanga namna ya kutatua migogoro inayoendelea ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji pamoja na hifadhi za taifa.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Mawaziri wa afya EAC kukutana kwa dharura Arusha
11 years ago
GPLAIR TANZANIA YARUDISHA SAFARI ZA NDEGE ZA KWENDA BURUNDI
10 years ago
Habarileo19 May
Mawaziri watoa maazimio matatu kuhusu Burundi
MAWAZIRI wa Afrika Mashariki kutoka nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), walikutana jana kwa saa 1:08 asubuhi jijini hapa kujadili hali ya uchaguzi nchini Burundi kutokana na maazimio matatu.
10 years ago
StarTV19 May
Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.
Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.
BBC
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC WAFUNGULIWA DAR ES SALAAM