Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.

Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.

Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.

BBC

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kocha awatimua watatu Yanga SC

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Ernie Brandts amesema kama angeendelea kubaki Yanga, basi angewatimua wachezaji watatu katika kikosi chake. Brandts, raia wa Uholanzi, amesema angewafukuza mara moja nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, kiungo Athumani Idd ‘Chuji’ na mshambuliaji Hamis Kiiza, raia wa Uganda. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Brandts alisema wachezaji hao wanapaswa kuondolewa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kova awatimua kazi askari wanne

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC awatimua kazi mganga, muuguzi wa zahanati

MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kuwafukuza kazi watumishi wawili wa zahanati ya Kijiji cha Isakamaliwa kwa kudharau maelekezo yake ya kuwataka warudi...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MAWAZIRI WA EAC WAWASILISHA MAAMUZI YA WAKUU WA NCHI KWA RAIS WA BURUNDI

  Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb), akiwasilisha kwa Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza maamuzi ya Mkutano wa  Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika tarehe 31 Mei, 2015 Jijini Dar es Salaam. Mhe. Mwakyembe  aliongoza ujumbe wa Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ziara ya kikazi nchini Burundi tarehe 15 Juni, 2015.Rais Nkurunziza akisalimiana na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA EAC WAWASILISHA MAAMUZI YA WAKUU WA NCHI KWA RAIS WA BURUNDI

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb), akiwasilisha kwa Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza maamuzi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika tarehe 31 Mei, 2015 Jijini Dar es Salaam. Mhe. Mwakyembe aliongoza ujumbe wa Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ziara ya kikazi nchini Burundi tarehe 15 Juni, 2015.Rais Nkurunziza akisalimiana na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Baraza la mawaziri lasema litaongoza Burundi hadi rais atakapoapishwa

Baraza la Mawaziri nchini Burundi limesema kuwa linaongoza nchi hadi rais mpya atakapoapishwa.

 

9 years ago

Global Publishers

Mwigulu awatimua Kazi Viongozi Matapeli wa Vyama vya Tumbaku-Iringa

Mwigulu (1) Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba akisalimiana na wadau wakati wa mkutano wake na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika pamoja na wakulima, Iringa. Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba amewasimamisha kazi viongozi wa vyama vya msingi vya tumbaku mkoani Iringa wanaotuhumiwa kushiriki katika ufisadi wa mkopo wa matrekta 9 kupitia mgongo wa vyama vya msingi vya wakulima wa tumbaku na kujimilikisha wenyewe. Mwigulu (2) Mwigulu akisalimiana na wadau Nchemba alifikia...

 

10 years ago

Mtanzania

Mawaziri watatu kitanzini

LUKUVIsamuel sittaNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, baadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza ni nini ambacho mawaziri wapya wataweza kufanya kwa muda wa miezi tisa iliyobaki.
Pamoja na kuwa na muda mfupi, bado kuna mambo kadhaa ambayo huenda ikawa ni ‘kitanzi’ kwa mawaziri hao kabla ya nchi kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu.
Changamoto kubwa ni fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hasa baada ya nchi wahisani kugoma kutoa fedha kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri watatu wa Magufuli wazua utata

Hatua ya Rais John Magufuli kuteua na kuwaapisha mawaziri watatu kabla ya kuapishwa kuwa wabunge, imeibua utata huku wanasheria wakihoji jinsi gani watafanya kazi za Kamati za Bunge kabla ya Februari wakati chombo hicho cha kutunga sheria kitakapoanza shughuli zake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani