Mawaziri watatu kitanzini
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, baadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza ni nini ambacho mawaziri wapya wataweza kufanya kwa muda wa miezi tisa iliyobaki.
Pamoja na kuwa na muda mfupi, bado kuna mambo kadhaa ambayo huenda ikawa ni ‘kitanzi’ kwa mawaziri hao kabla ya nchi kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu.
Changamoto kubwa ni fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hasa baada ya nchi wahisani kugoma kutoa fedha kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Mawaziri watatu wa Magufuli wazua utata
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mawaziri watatu waibuka machinjio ya Vingunguti
10 years ago
StarTV19 May
Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.
Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.
BBC
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Mawaziri watatu wazindua mradi mkubwa wa kilimo Bagamoyo
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Maamuzi ya Mawaziri watatu kwenye meza moja walivyofika machinjio ya Vingunguti Dar..
January 02 2016 ni siku nyingine Jumamosi inayobeba kichwa cha habari cha ziara za ghafla za Mawaziri wa Rais Magufuli, hii ya leo wameongozana mguu kwa mguu Mawaziri watatu kwenda eneo la Vingunguti ambapo ni machinjio ya wanyama Dar es Salaam. Mawaziri hao George Simbachawene, Dk. Hamisi Kigwangalla na Mwigulu Nchemba wamefanya ziara hiyo na […]
The post Maamuzi ya Mawaziri watatu kwenye meza moja walivyofika machinjio ya Vingunguti Dar.. appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Gwajima kitanzini
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kupeleka nyaraka 10 za mali anazomiliki.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwanasheria wa Askofu Gwajima, John Mallya, alisema anatakiwa kuzipeleka nyaraka hizo kituoni hapo Aprili 16 mwaka huu.
Mallya alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya mteja wake kuhojiwa na polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kumtolea maneno ya kashfa...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Bodi ya Ligi kitanzini
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Watumishi mafisadi kitanzini
Serikali yaibuka na mwongozo mpya Tume ya Maadili yapewa meno makali
NA WILLIAM SHECHAMBO
SERIKALI imeendelea na mikakati ya kuwadhibiti viongozi wa umma wanaokiuka maadili na kushiriki kwenye vitendo vya wizi na ufisadi, ambapo sasa imeunda mwongozo mpya utakaotumika kuwabana.
Mwongozo huo ambao unatajwa kuwa suluhisho na mwarobaini wa watumishi wezi na wanaokwenda kinyume, pia utaipa meno zaidi ya kiutendaji, Sekretari ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tofauti na ilivyo sasa.
Kwa sasa sheria na...
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Majaji wa Escrow kitanzini
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
TUME ya Utumishi wa Mahakama imesema suala la majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanaotuhumiwa kupokea zaidi ya Sh milioni 400 kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow, limefika kwenye tume hiyo na linafanyiwa kazi.
Kwa utaratibu wa tume hiyo, baada ya uchunguzi taarifa hupelekwa kwa rais ambaye baada ya kupitia mapendekezo yaliyotolewa kwenye ripoti ya uchunguzi, hutoa uamuzi.
Hayo yalielezwa jana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Hussein Katanga, katika banda la Tume...