Mawaziri watatu wazindua mradi mkubwa wa kilimo Bagamoyo
Mawaziri watatu wakiongozwa na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza juzi walizindua Mradi wa Kilimo cha Miwa unaotekelezwa na Kampuni ya Agro EcoEnergy (T) Ltd, utakaogharimu Sh.1trilioni wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TocXudA9ML8/VNN7I4H4UxI/AAAAAAAHB-4/TddFeNSNL5w/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO,SHIRIKA LA MAGEREZA NA KAMPUNI YA TARBIM WAKUTANA LEO MJINI BAGAMOYO
![](http://1.bp.blogspot.com/-TocXudA9ML8/VNN7I4H4UxI/AAAAAAAHB-4/TddFeNSNL5w/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-taIu7fs6Dk0/VNN7JdUBFmI/AAAAAAAHB-8/Q77Xmw6cl2c/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Nov
UNDP wazindua mradi mkubwa wa maji Noondoto na Elang’atadapash
Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la wafugaji la Ilkisongo Pastoralists Initiative (IPI) Bw.Mike Olemokoro akiongoza gari ya Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye kijiji cha Elang’atadapash wilayani Longido kuzindua mradi mkubwa wa maji unaofadhiliwa na UNDP.
Na mwandishi wetu
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la...
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Mapacha watatu kuwashukuru Bagamoyo
NA MWALI IBRAHIM
BENDI ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu inatarajia kufanya onyesho maalumu kwa ajili ya shukrani kwa mashabiki wao wa Bagamoyo kutokana na kura walizowapigia hadi wakashinda tuzo za kili.
Mmoja wa viongozi wa bendi hiyo, Khalid Chuma ‘Chokoraa’ alisema, onyesho hilo litafanyika Ijumaa ijayo kwa kutoa nyimbo mbili mpya ambazo ni ‘Mapacha wasasa’ na ‘Wabaya watu’.
“Mashabiki wetu walituwezesha kupata tuzo mbili kwenye mchakato wa tuzo za Kilimanjaro zikiwa ni ‘Mtunzi bora’...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mapacha Watatu kupamba Miss Bagamoyo
BENDI ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu, inatarajiwa kunogesha shindano la kumsaka mrembo wa Wilaya ya Bagamoyo ‘Miss Bagamoyo’ mkoani Pwani. Shindano hilo limepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Palm...
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Mawaziri watatu kitanzini
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, baadhi ya wananchi wamekuwa wakijiuliza ni nini ambacho mawaziri wapya wataweza kufanya kwa muda wa miezi tisa iliyobaki.
Pamoja na kuwa na muda mfupi, bado kuna mambo kadhaa ambayo huenda ikawa ni ‘kitanzi’ kwa mawaziri hao kabla ya nchi kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu.
Changamoto kubwa ni fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hasa baada ya nchi wahisani kugoma kutoa fedha kwa...
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Mawaziri watatu waibuka machinjio ya Vingunguti
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Mawaziri watatu wa Magufuli wazua utata
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
UN wazindua mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Chamwino Dodoma
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya...