Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDP wazindua mradi mkubwa wa maji Noondoto na Elang’atadapash

IMG_4156

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la wafugaji la Ilkisongo Pastoralists Initiative (IPI) Bw.Mike Olemokoro akiongoza gari ya Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye kijiji cha Elang’atadapash wilayani Longido kuzindua mradi mkubwa wa maji unaofadhiliwa na UNDP.

Na mwandishi wetu

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda

 Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla amekagua mradi mkubwa wa maji utakaohudumia wananchi wa mji wa Bunda na vijiji 13 vilivyopo karibu na chanzo na vitakavyopitiwa na bomba kuelekea mji wa Bunda Kwa mujibu wa injinia Gantala Gantala mkurugenzi wa mamlaka ya maji musoma ambao ndiyo wasimamizi wa ujenzi wa mradi huo kwa niaba ya wizara ya maji ameleza kuwa mahitaji ya maji sasa kwa wananchi wa mji wa Bunda ni lita milioni 5 kwa siku wakati uzalishaji wa sasa maji ni lita milioni moja na...

 

10 years ago

Michuzi

MUWSA YASAMBAZA BOMBA ZA MAJI MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini.
TATIZO la upungufu wa maji katika Manispaa ya Moshi linaelekea kuwa historia ifikapo mwezi Desemba mwaka huu kufuatia kukamilika kwa utekelezaji wa  mradi mkubwa wa maji uliopo katika chemchem ya Mto Karanga ambao umegharimu kiasi cha shilingi milioni 382.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira ( MUWSA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amefafanua kuwa, mradi huo utakapokamilika utahudumia maeneo ya Bomambuzi, Pasua ,...

 

10 years ago

GPL

MUWSA YASAMBAZA BOMBA LA MAJI KATIKA MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonyesha wanahabari chanzo cha maji kilichopo Mto Karanga .…

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri watatu wazindua mradi mkubwa wa kilimo Bagamoyo

Mawaziri watatu wakiongozwa na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza juzi walizindua Mradi wa Kilimo cha Miwa unaotekelezwa na Kampuni ya Agro EcoEnergy (T) Ltd, utakaogharimu Sh.1trilioni wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE.

Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi huo.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi huo.
PICHA ZAIDI...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bi. Agnes Hokororo.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.

Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...

 

5 years ago

Michuzi

MWAKA WA FEDHA WA 2020/ 2021 WIZARA YA MAJI KUFANYA USANIFU WA MRADI MKUBWA WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWENDA DODOMA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa, Kitila Mkumbo akizungumza mkoani Singida, mwishoni mwa wiki kwenye hafla ya kupokea mabomba ya maji ambayo ni sehemu ya Programu kubwa inayotekelezwa kwa nchi nzima katika mikoa 17, Singida ikiwa ni moja ya mikoa hiyo. Mkurugenzi wa RUWASA, Clement Kivegalo, akizungumza kwenye hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa, Kitila Mkumbo.Meneja wa RUWASA Mkoa wa Singida, Mhandisi Lucas Saidi, akizungumza.Meneja wa Kiwanda cha kutengeneza...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaelezea ujenzi mradi mkubwa wa maji

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimesema mradi mkubwa wa majisafi na salama kutoka Ziwa Victoria unatarajia kuanza kutekelezwa mapema Januari 2015 ukitokea mkoani Shinyanga kupitia Nzega na Igunga mpaka Tabora.

 

11 years ago

Habarileo

Mradi mkubwa wa maji Masasi -Nachingwea wazinduliwa

KERO ya miaka mingi ya uhaba mkubwa wa maji kwa wakazi wa miji ya Masasi, mkoani Mtwara na Nachingwea, mkoani Lindi, hatimaye imemalizika baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa ambao unatoa huduma ya maji kwa wakazi wa miji hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani