Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi mkubwa wa maji Masasi -Nachingwea wazinduliwa

KERO ya miaka mingi ya uhaba mkubwa wa maji kwa wakazi wa miji ya Masasi, mkoani Mtwara na Nachingwea, mkoani Lindi, hatimaye imemalizika baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa ambao unatoa huduma ya maji kwa wakazi wa miji hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKIZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI NACHINGWEA, MASASI, WAZIRI CHIKAWE AMSHUKURU

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi mkubwa wa Maji kwa upande wa Wilaya ya Nachingwea katika Kijiji cha Chiumbati mkoani Lindi. Mradi huo mkubwa wenye thamani ya Shilingi Bilioni 34.6 pia unajumlisha Wilaya ya Masasi iliyopo Mkoa wa Mtwara. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe. Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Prof Jumanne Magembe, na kushoto ni Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.

 

11 years ago

Mwananchi

KERO YA MAJI: JK atimiza ahadi Masasi, Nachingwea

>Rais Jakaya Kikwete amezindua mradi wa maji wa Mbwinji unaotoa huduma kwa wakazi wilayani hapa na Nachingwea mkoani Lindi na kulifanya tatizo hilo sugu la ukosefu wa maji lililokuwa linawakabili wakazi wa wilaya hizo kuwa historia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...

 

10 years ago

Michuzi

MUWSA YASAMBAZA BOMBA ZA MAJI MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini.
TATIZO la upungufu wa maji katika Manispaa ya Moshi linaelekea kuwa historia ifikapo mwezi Desemba mwaka huu kufuatia kukamilika kwa utekelezaji wa  mradi mkubwa wa maji uliopo katika chemchem ya Mto Karanga ambao umegharimu kiasi cha shilingi milioni 382.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira ( MUWSA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amefafanua kuwa, mradi huo utakapokamilika utahudumia maeneo ya Bomambuzi, Pasua ,...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda

 Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla amekagua mradi mkubwa wa maji utakaohudumia wananchi wa mji wa Bunda na vijiji 13 vilivyopo karibu na chanzo na vitakavyopitiwa na bomba kuelekea mji wa Bunda Kwa mujibu wa injinia Gantala Gantala mkurugenzi wa mamlaka ya maji musoma ambao ndiyo wasimamizi wa ujenzi wa mradi huo kwa niaba ya wizara ya maji ameleza kuwa mahitaji ya maji sasa kwa wananchi wa mji wa Bunda ni lita milioni 5 kwa siku wakati uzalishaji wa sasa maji ni lita milioni moja na...

 

10 years ago

GPL

MUWSA YASAMBAZA BOMBA LA MAJI KATIKA MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonyesha wanahabari chanzo cha maji kilichopo Mto Karanga .…

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE.

Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi huo.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi huo.
PICHA ZAIDI...

 

10 years ago

Vijimambo

Mradi wa maji safi na salama wazinduliwa Kiwani, Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na salama huko Kiwani, ulijengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.AFISA mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto Pemba Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungusha koki ya maji kuashiria uzinguzi wa mradi wa maji katika shehia ya kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani