Kova awatimua kazi askari wanne
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Akizungumza na waandishi wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMISHINA KOVA AWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUFUATA MAADILI
Kamishna Kova ameyasema hayo mwanzoni mwa wiki hii wakati akiongea na Maafisa na Wakaguzi wa Polisi katika kikao cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kusisitiza...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zDxY1z3vIPw/Uyc1xvgosTI/AAAAAAAFUO8/LNeVhw9jGsY/s72-c/SelemanKova.jpg)
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam latimua kazi askari wanne kwa kujihusisha na uhalifu
![](http://4.bp.blogspot.com/-zDxY1z3vIPw/Uyc1xvgosTI/AAAAAAAFUO8/LNeVhw9jGsY/s1600/SelemanKova.jpg)
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewafukuza kazi askari wake wanne waliodhibitika kujihusisha na matukio ya uhalifu, kwa mujibu wa Kamanda wa kanda hiyo Kamishna Suleiman Kova (pichani).
Kamanda Kova amesema leo jijini kuwa hatua hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa awali kubaini kuwa askari hao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu. Ameseme vitendo hivyo ni pamoja na tukio la Machi 9, 2014 ambalo lilitokea eneo la Mbezi beachi ...
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
DC awatimua kazi mganga, muuguzi wa zahanati
MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kuwafukuza kazi watumishi wawili wa zahanati ya Kijiji cha Isakamaliwa kwa kudharau maelekezo yake ya kuwataka warudi...
10 years ago
StarTV19 May
Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.
Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.
BBC
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Kova: Askari polisi waliuawa kigaidi
![Kamishna Suleiman Kova](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Suleiman-Kova-300x200.jpg)
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
KOKU DAVID NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
KAMANDA wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, amesema tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Mkuranga juzi, lina dalili za ugaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda Kova alisema wanahisi kuna dalili za kigaidi kutokana na mazingira ya tukio lenyewe.
Alisema watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wapatao 10...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Mwigulu awatimua Kazi Viongozi Matapeli wa Vyama vya Tumbaku-Iringa
![Mwigulu (1)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/Mwigulu-1.jpg)
![Mwigulu (2)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/Mwigulu-2.jpg)
10 years ago
Michuzi31 Mar
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Askari wanne na raia 14 wapoteza maisha katika ajali ya gari Singida
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled65.jpg)
Baadhi ya miili ya wakazi wa kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi, waliogongwa na basi la Summry ikiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Singida mjini humo.
![DSC08054](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC08054.jpg)
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiwa wanatafakari juu ya ndugu zao kugongwa na basi la summry la kufariki dunia usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi.
![DSC08077](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC08077.jpg)
Baadhi ya ndugu wakiwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa mjini Singida,wakisubiri kuchukua miili ya ndugu zao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q0SlC7VLXZ5CCeKTFaQFkfZutVRZr2nYI89fIipNvFnY1LYt50wKU18TSAUaOnepfOMS4Pw0idZ141adIpmA1ru/ajali3.jpg?width=650)
AJALI YA BASI LA SUMRY ILIYOUA WATU 19 WAKIWEMO ASKARI WANNE WA JESHI LA POLISI