Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kova: Askari polisi waliuawa kigaidi

Kamishna Suleiman Kova

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

KOKU DAVID NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
KAMANDA wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, amesema tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Mkuranga juzi, lina dalili za ugaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda Kova alisema wanahisi kuna dalili za kigaidi kutokana na mazingira ya tukio lenyewe.
Alisema watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wapatao 10...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA KOVA AWATAKA ASKARI WALIOMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO WA JESHI LA POLISI KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA WALIYOYAPATA KUONDOA KERO NA KUDUMISHA AMANI KATIKA MITAA YOTE YA JIJI LA DAR

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova akifurahi jambo wakati akizungumza na Askari Polisi waliomaliza Mafunzo ya uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi katika vyuo vya Polisi vya Moshi na Zanzibar,wakati alipowapokea leo Desemba 4,2014 katika Kituo cha Kati cha Polisi,Jijini Dar es Salaam.Sehemu ya Askari Polisi waliomaliza Mafunzo ya uongozi mdogo wa Jeshi la Polisi katika vyuo vya Polisi vya Moshi na Zanzibar wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Kanda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kova awatimua kazi askari wanne

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Akizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

KIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI


Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yanasa mtandao wa `kigaidi’

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma, Mihayo MsikhelaJESHI la Polisi mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limefanikiwa kukitambua kikundi cha mtandao wa kigaidi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi: Shambulizi la kisu London ni la 'kigaidi'

Idara ya polisi nchini Uingereza inasema kuwa inalichukulia kisa cha udungaji kisu katika kituo cha gari moshi jijini London, kama tendo la kigaidi.

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA TANGA KATIKA MAPAMBANO YA POLISI NA KUNDI LA KIGAIDI

Helkopta ya polisi pamoja na gari vikiwa eneo la mapango ya Amboni, Tanga wakati wa mapambano ya polisi na kundi linalodhaniwa kuwa la kigaidi. Eneo la mapango ya Amboni.…

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHINA KOVA AWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUFUATA MAADILI

Kamanda wa Polisi  Kanda Maalum ya Dar es salaam,Kamishna Suleiman Kova (wa nne kutoka kushoto) amewataka askari wote  wa Kanda hiyo  kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia haki za binadamu, na kufuata maadili ya  kazi katika utendaji wao wa kila siku.
Kamishna Kova ameyasema hayo mwanzoni mwa wiki hii wakati akiongea na Maafisa na Wakaguzi wa Polisi katika kikao cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kusisitiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani