Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu awatimua Kazi Viongozi Matapeli wa Vyama vya Tumbaku-Iringa

Mwigulu (1) Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba akisalimiana na wadau wakati wa mkutano wake na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika pamoja na wakulima, Iringa. Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba amewasimamisha kazi viongozi wa vyama vya msingi vya tumbaku mkoani Iringa wanaotuhumiwa kushiriki katika ufisadi wa mkopo wa matrekta 9 kupitia mgongo wa vyama vya msingi vya wakulima wa tumbaku na kujimilikisha wenyewe. Mwigulu (2) Mwigulu akisalimiana na wadau Nchemba alifikia...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madeni vyama vya msingi kikwazo soko la tumbaku

UFUNGUZI wa soko la tumbaku wa msimu wa mwaka 2013/2014 uliofanyika katika Chama cha Msingi cha Ushirika Makale,wilayani Manyoni,  Singida ulihudhuriwa na wakulima wengi wa  zao hilo pamoja na viongozi...

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA TUMBAKU WAULALALMIKIA UBADHILIFU MKUBWA WA FEDHA ULIOFANYWA NA VYAMA VYA USHIRIKA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia,wakazi wa Sikonge katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa CCM,wilayani Sikonge mkoani Tabora.Kinana alizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima wa zao la Tumbaku huku akionesha kabrasha la taarifa ya ukaguzi na uchunguzi wa chama cha Ushirika cha WETCO LTD,ambalo linaeleza namna wakulima wa Tumbaku walivyoibiwa mamilioni ya fedha.
Aidha,Wananchi wa Sikonge wameulalamikia ubadhilifu huo mkubwa wa fedha...

 

9 years ago

Global Publishers

Mwigulu Awatimua Waliokula bil 5.7 Ujenzi wa Machinjio – Ruvu

MWIGULU (9)Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi akiwasili kwenye mradi uliodumaa wa Ujenzi wa machinjio ya kisasa wa ranchi ya Ruvu mapema hii leo. Sehemu ya jingo lililobaki kama Gofu mara baada ya kutelekezwa na Uongozi wa Bodi ya ranchi za Taifa(NARCO) Mwigulu Nchemba akishangaa namna mali hii ya Umma ilivyotekelezwa.MWIGULU (16)

Mwigulu Nchemba akiendelea kupewa maelezo ya kina kuhusu ubadhilifu uliojitokeza kwenye ujenzi huu.MWIGULU (1)Mh. Ridhiwani kikwete Mbunge wa Chalinze akitoa malalamiko yake kwa Waziri Mwigulu...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA MKOANI IRINGA LEO

  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji  Mstaafu Damian Lubuva akifafanua jambo kwa msisitizo kuhusia na maandalizi ya mwisho ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika Machi 16,mkutano huo umewakutanisha wadau mbalimbali vikiwemo vyama vya Siasa,vyombo vya usalama na wadau wengine  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji  Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya waandishi wa habari mapema leo,kuhusu uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga katika kikao cha...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ni vema viongozi wa vyama vya siasa nchini wakaonesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha watanzania na siyo kuwatenganisha.

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”

Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA

Msajili wa vyama vya siasa nchini,Jaji Mstaafu ,Francis Mtungi akiarisha mkutano wa vyama vya siasa ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Rais Dk.Jakaya Kikkwete leo jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TLP,Maxmillian Lymo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula( Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Labour Patry (TLP), Agustino Lyatonga Mrema  (kulia ) na katikati Mgombea Urais, Maxmillian Lymo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani