Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madeni vyama vya msingi kikwazo soko la tumbaku

UFUNGUZI wa soko la tumbaku wa msimu wa mwaka 2013/2014 uliofanyika katika Chama cha Msingi cha Ushirika Makale,wilayani Manyoni,  Singida ulihudhuriwa na wakulima wengi wa  zao hilo pamoja na viongozi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mrajis kikwazo kwa vyama vya ushirika

BAADHI ya wanaushirika nchini wanaichukulia nafasi ya Mrajis wa Vyama vya Ushirika kuwa ipo kuukwamisha ushirika. Pia wapo wanaodhani kwamba cheo hicho kilianzishwa baadaye kabisa, kama moja ya mikakati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu rasilimali kikwazo kwa usimamizi wa vyama vya siasa

Baadhi ya taasisi zinazosaidia kukuza demokrasia na kudhibiti matendo maovu katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, zipo hoi kirasilimali.

 

9 years ago

Global Publishers

Mwigulu awatimua Kazi Viongozi Matapeli wa Vyama vya Tumbaku-Iringa

Mwigulu (1) Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba akisalimiana na wadau wakati wa mkutano wake na viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika pamoja na wakulima, Iringa. Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba amewasimamisha kazi viongozi wa vyama vya msingi vya tumbaku mkoani Iringa wanaotuhumiwa kushiriki katika ufisadi wa mkopo wa matrekta 9 kupitia mgongo wa vyama vya msingi vya wakulima wa tumbaku na kujimilikisha wenyewe. Mwigulu (2) Mwigulu akisalimiana na wadau Nchemba alifikia...

 

9 years ago

StarTV

 Madeni yavikabili vyama vya ushirika nchini kwa Kushindwa Kurejesha Mikopo

 

Vyama vya ushirika nchini vinakabiliwa na madeni kutoka katika benki za kibiashara kutokana na kushindwa kurejesha mikopo kwa wakati hali ambayo imesababisha vyama hivyo kushindwa kujiendesha ipasavyo.

Kaimu Rais wa vyama vya ushirika na mtendaji mkuu wa tume ya maendeleo ya ushirika Tanzania Audasi Lutabazigwa amesema mjini Dododma kuwa wamefanya mazungumzo na benki za kibiashara ili  kivinusuru vyama hivyo.

Aidha mbali na suala hilo la madeni kaimu rais wa vyama vya ushirika anatoa...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF WATOA SEMINA KWA WENYEVITI WA VYAMA VYA MSINGI (AMCOS) VYA WILAYA YA KILWA-LINDI

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi yaJamii(NSSF) limetoa Elimu kwa Wenyeviti na Makatibu wa Wakulima wa Korosho na Ufuta wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi kuhusu mpango wa Hifadhi ya Jamii kwa Wakulima, Mpango huo unamwezesha mkulima kupata mikopo mbalimbali ikiwemo mkopo wa vifaa vya kilimo pamoja na pembejeo za kilimo. 
Aidha mpango huo unamwezesha mkulima na familia yake kufaidika na mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF yakiwemo mafao ya matibabu ambapo mkulima atapata matibabu bure yeye na...

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA TUMBAKU WAULALALMIKIA UBADHILIFU MKUBWA WA FEDHA ULIOFANYWA NA VYAMA VYA USHIRIKA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia,wakazi wa Sikonge katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa CCM,wilayani Sikonge mkoani Tabora.Kinana alizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima wa zao la Tumbaku huku akionesha kabrasha la taarifa ya ukaguzi na uchunguzi wa chama cha Ushirika cha WETCO LTD,ambalo linaeleza namna wakulima wa Tumbaku walivyoibiwa mamilioni ya fedha.
Aidha,Wananchi wa Sikonge wameulalamikia ubadhilifu huo mkubwa wa fedha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyama vya msingi vitetee wakulima

UONGOZI wa vyama vya msingi umekuwa ukilalamikiwa kwamba hautendi haki kwa wanachama ndani ya vyama hivyo kutokana na mambo mbalimbali. Miongoni mwa malalamiko hayo ni kwamba uongozi umekuwa ukizidisha muda...

 

11 years ago

Mwananchi

CRDB yaviongezea vyama muda wa kulipa madeni

Benki ya CRDB imetoa mikopo yenye thamani ya Dola za Marekani 42 milioni katika mwaka wa fedha 2012/13 kwa vyama vya msingi vya ushirika 143 vilivyo chini ya Chama Kikuu cha Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi (WETCU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani