Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyama vya msingi vitetee wakulima

UONGOZI wa vyama vya msingi umekuwa ukilalamikiwa kwamba hautendi haki kwa wanachama ndani ya vyama hivyo kutokana na mambo mbalimbali. Miongoni mwa malalamiko hayo ni kwamba uongozi umekuwa ukizidisha muda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NSSF WATOA SEMINA KWA WENYEVITI WA VYAMA VYA MSINGI (AMCOS) VYA WILAYA YA KILWA-LINDI

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi yaJamii(NSSF) limetoa Elimu kwa Wenyeviti na Makatibu wa Wakulima wa Korosho na Ufuta wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi kuhusu mpango wa Hifadhi ya Jamii kwa Wakulima, Mpango huo unamwezesha mkulima kupata mikopo mbalimbali ikiwemo mkopo wa vifaa vya kilimo pamoja na pembejeo za kilimo. 
Aidha mpango huo unamwezesha mkulima na familia yake kufaidika na mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF yakiwemo mafao ya matibabu ambapo mkulima atapata matibabu bure yeye na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madeni vyama vya msingi kikwazo soko la tumbaku

UFUNGUZI wa soko la tumbaku wa msimu wa mwaka 2013/2014 uliofanyika katika Chama cha Msingi cha Ushirika Makale,wilayani Manyoni,  Singida ulihudhuriwa na wakulima wengi wa  zao hilo pamoja na viongozi...

 

5 years ago

Michuzi

TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.

Kutoka Kushoto aliyeshika kipaza sauti ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mh. Brig. Gaguti, akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mh. Rashid Mwaimu, Mkuu wa wilaya ya Karagwe Mh. Godfrey Muheruka, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine na mwenyekiti wa chama cha KDCU LTD Anselemi Alphonce.

Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA TUMBAKU WAULALALMIKIA UBADHILIFU MKUBWA WA FEDHA ULIOFANYWA NA VYAMA VYA USHIRIKA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia,wakazi wa Sikonge katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa CCM,wilayani Sikonge mkoani Tabora.Kinana alizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba wakulima wa zao la Tumbaku huku akionesha kabrasha la taarifa ya ukaguzi na uchunguzi wa chama cha Ushirika cha WETCO LTD,ambalo linaeleza namna wakulima wa Tumbaku walivyoibiwa mamilioni ya fedha.
Aidha,Wananchi wa Sikonge wameulalamikia ubadhilifu huo mkubwa wa fedha...

 

10 years ago

Habarileo

Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen WasiraWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani