VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA
Msajili wa vyama vya siasa nchini,Jaji Mstaafu ,Francis Mtungi akiarisha mkutano wa vyama vya siasa ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Rais Dk.Jakaya Kikkwete leo jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TLP,Maxmillian Lymo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula( Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Labour Patry (TLP), Agustino Lyatonga Mrema (kulia ) na katikati Mgombea Urais, Maxmillian Lymo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA KISIWANI PEMBA



MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Said Soud...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Viongozi wa vyama vya Siasa wakutana kujadili ushiriki wa makundi maalum katika uongozi
.jpg)
11 years ago
GPL
10 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”
Waziri Mkuu...
10 years ago
Vijimambo
Mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa




Wadau mbali mbali wa vyama vya siasa

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian...
5 years ago
CCM Blog
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Viongozi wa vyama vya siasa, wagombea na washabiki watahadharishwa Singida
Mkuu wa wilaya ya Singida, Bwana Saidi Amanzi akisisitiza jambo wakati wa ufungaji wa mafunzo ya wiki moja kwa wanawake wanaojihusisha na kilimo cha mboga mboga wilayani Singida.
Mkuu wa wilaya ya Singida, Bwana Saidi Amanzi(aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya wiki moja kwa wakulima wa mboga mboga wilaya ya Singida vijijini waliohudhuria mafunzo hayo kwenye majengo ya Shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO)Mkoani Singida.
Mmoja wa washiriki wa...