Mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa
Chadema.Mwenyekiti wa Chama cha United Demoratic (UDP), John Cheyo akipitia ratiba wakati wa mkutano huoMwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kushoto), akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili maboresho ya uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam
Wadau mbali mbali wa vyama vya siasa
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL10 years ago
Vijimambo03 May
Kiama vyama vya siasa, Mageuzi kuwalazimu kubadilisha Katiba zao, Lengo ni pamoja na kufuta vikundi vya ulinzi
Mtikisiko mkubwa unavikabili vyama vya siasa nchini, vinapoandaliwa kufanya mabadiliko ya lazima kwa Katiba zao, ili pamoja na mambo mengine, vifute vifungu vinavyohalalisha uhai wa vikundi vya ulinzi na usalama.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuwapo kwa vifungu vya katiba hizo hasa vinavyohusu uwapo wa vikundi vya ulinzi na usalama na hivyo kukiuka Katiba ya nchi inayotoa haki hiyo kwa majeshi ya ulinzi na usalama.
Taarifa za uhakika...
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA
“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”
Waziri Mkuu...
9 years ago
MichuziVIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TLP,Maxmillian Lymo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula( Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Labour Patry (TLP), Agustino Lyatonga Mrema (kulia ) na katikati Mgombea Urais, Maxmillian Lymo...
5 years ago
CCM BlogHOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020
• Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,• Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,• Mkurugenzi wa Uchaguzi,• Msajili wa Vyama vya Siasa,• Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,• Viongozi wa Vyama vya Siasa,• Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,• Inspekta Jenerali wa Polisi,• Kamishna Mkuu wa Uhamiaji• Watendaji wa Tume,• Waandishi wa Habari,• Mabibi na Mabwana
Bwana...
5 years ago
CCM Blog10 years ago
VijimamboVIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA KISIWANI PEMBA
MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Said Soud...