Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa vyama vya Siasa wakutana kujadili ushiriki wa makundi maalum katika uongozi

Tanzania Center for Democracy (TCD) iliwakutanisha viongozi wa vyama vya Siasa wanachama wa TCD ili kupokea taarifa ya Utafiti wa ushiriki wa makundi maalum katika nafasi za uongozi wa nchi, makundi yaliyojadiliwa ni Wanawake, Vijana na Walemavu ... Mapendekezo na maazimio ya mkutano huo yanafanyiwa kazi na TCD na baadae yatapelewa kwenye vyama kwa ajili ya kutumia Matokeo ya Utafiti huo ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika uongozi ndani ya vyama na Taifa kwa ujumla!Kutoka kushoto ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA

Msajili wa vyama vya siasa nchini,Jaji Mstaafu ,Francis Mtungi akiarisha mkutano wa vyama vya siasa ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Rais Dk.Jakaya Kikkwete leo jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TLP,Maxmillian Lymo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula( Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Labour Patry (TLP), Agustino Lyatonga Mrema  (kulia ) na katikati Mgombea Urais, Maxmillian Lymo...

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA KISIWANI PEMBA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba,pembeni yake ni baadhi ya makamishna wa Tume hiyo.Mkuu wa Wilaya ya Mkoani katikati Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, akiwa na makatibu tawala wa Mkoa na Wilaya za Pemba, wakifuatia hutuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim ambaye hayupo pichani, wakati akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi.
MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Said Soud...

 

5 years ago

Michuzi

NEC yakutana na viongozi wa vyama vya Siasa kujadili suala la Uchaguzi mkuu 2020.


Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Katika kuelekea uchaguzi Mkuu 2020 wa Rais, Wabunge na madiwani Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekutana na viongozi wa vyama vya siasa kujadili maandalizi ya uwekaji wazi wa Daftari la awali na kutoa taarifa ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili.

Akifungua mkutano huo uliohusisha viongozi wa vyama vya siasa nchini Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ni vema viongozi wa vyama vya siasa nchini wakaonesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha watanzania na siyo kuwatenganisha.

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”

Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA UCHAGUZI MKIKIMKIKI 2015 WAZINDULIWA VYAMA VIKUU VYA SIASA KUJADILI SERA ZAO

TWAWEZA inatangaza uzinduzi wa midahalo iitwayo Mkikimkiki 2015. Midahalo hii imeanzishwa ili kutoa fursa na jukwaa kwa vyama vya siasa kunadi sera zao kwa wananchi. Aidha midahalo hii tawapa wananchi fursa ya kuwahoji na kuwapima wagombea na wataalamu wa vyama vikuu vya siasa.
Mfululizo huu wa midahalo umekuja wakati muafaka. Utafiti ulidhaminiwa na Twaweza, uligundua kuwa wananchi 8 kati ya 10 wanafikiri kuwa wagombea ubunge (78%) na urais (79%) wanapaswa kuwa na midahalo ya pamoja. Mbali...

 

9 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani