Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha awatimua watatu Yanga SC

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Ernie Brandts amesema kama angeendelea kubaki Yanga, basi angewatimua wachezaji watatu katika kikosi chake. Brandts, raia wa Uholanzi, amesema angewafukuza mara moja nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’, kiungo Athumani Idd ‘Chuji’ na mshambuliaji Hamis Kiiza, raia wa Uganda. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Brandts alisema wachezaji hao wanapaswa kuondolewa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.

Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.

Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.

BBC

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota watatu kuiacha Yanga karibuni

Huenda klabu ya Yanga ikawapoteza wachezaji wake watatu, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite na Juma Kaseja raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha: Yanga haijaiva

KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amesema timu yake bado haijaiva kiasi cha kuridhika kutetea taji lake la Ligi Kuu hivyo inahitajika marekebisho kidogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga amtega Kamara

Dar es Salaam. Kiungo mpya wa Yanga, Msierra Leone Lansana Kamara amepewa mtihani mwingine na kocha Hans Pluijm akitakiwa kuhakikisha anajua kupiga mashuti ili kusajiliwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wamtega kocha mpya

KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kumpatia mkataba wa miezi sita Kocha wake mpya, Hans Van Der Pluijm, ambaye tayari ameungana na timu hiyo iliyopo nchini Uturuki kujipanga kwa raundi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga amtosa Adebayor

Kocha wa zamani wa Yanga, Tom Saintfiet amesisitiza hawezi kumuita katika kikosi chake cha timu ya Taifa ya Togo, mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor.

 

11 years ago

GPL

Yanga yafuata kocha Brazil

Aliekuwa kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Ezekiel Kitula
MAKOCHA kutoka nchi mbili za Brazil na Uholanzi ndiyo wenye nafasi ya kuifundisha Yanga msimu ujao.
Habari za uhakika kutoka Yanga zinaeleza, Yanga inataka kupata kocha Mholanzi ili kuendeleza utamaduni wa Kiholanzi baada ya kufundishwa na Ernie Brandts na Hans van der Pluijm. Lakini kama mambo hayataenda vizuri itaangalia nchi nyingine na Brazil ndiyo...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Kocha Yanga atoa masharti

KOCHA wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga Hans Pluijm ameikataa kambi ya Zanzibar ameutaka uongozi kutafuta kambi hapa Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa ligi Kuu dhidi ya Coastal Union Jumapili katika Uwanja wa Taifa.

Awali uongozi wa Yanga ulitangaza kwenda kuweka kambi visiwani Zanzibar na kucheza mchezo mmoja wa kirafiki ili kujiweka sawa na Ligi Kuu Tanzania Bara.

Katibu Mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha alisema jana kuwa kocha wao hameghairi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani