MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO
Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa nje ya maduka yao mara baada ya kuamua kuyafunga kwa kile wanaochodai kufanya mgomo kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Johnson Minja ambaye kesi yake inasikilizwa mkoani Dodoma.Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya maduka yaliyoko Double road.
Maduka yaliyopo katika jengo la Halmashauri ya manispaa ya Moshi lenye ghorofa mbili pia hali ilikuwa hivi.
Pilika pilika zilizozoeleka katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa
WAFANYABIASHARA wa maduka kwenye mikoa mbalimbali nchini wamegoma kufungua maduka yao kwa madai kuwa serikali imeshindwa kusikiliza kilio chao cha kutaka mashine za kielektroniki (EFD) zishushwe bei. Mashine hizo zinatolewa...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa Kariakoo
![Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Kariakoo.jpg)
Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAFANYABIASHARA wa maduka ya soko la Kariakoo wameanza mgomo kwa muda usiojulikana kuanzia jana, sambamba na kuishinikiza Serikali kupunguza kodi ya asilimia 18 wanayotozwa kupitia mashine za kielektroniki (EFDs).
Wamefikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya TRA kutangaza...
10 years ago
GPLMGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mgomo wa daladala watikisa Arusha
10 years ago
Habarileo15 Nov
Mgomo wa magari watikisa Bukoba, kisa rushwa trafiki
WAMILIKI wa magari yanayofanya ruti za Bukoba na wilaya nyingine na madereva, wameendelea kugoma wakishinikiza Serikali ikutane nao.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Jgwl1GPfK74/VSefL0Qqi4I/AAAAAAAHQDo/sJ3rJnwy3_8/s72-c/MMGL3176.jpg)
MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI WATIKISA NCHI LEO
Hali ya mgomo huo, umepelekea adha kubwa kwa abiria wa vyombo hivyo, hasa wale waliokuwa wakielekea mikoani, kwani katika Stendi kuu ya Mabasi ya Ubungo jijini Dar es salaam, hakuna basi hata moja lililoondoka huku daladala nazo zikiwa hazionekani kabisa vituoni.
Uongozi...
10 years ago
MichuziSERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-_S5sGTcbJPU/VAbkK_zC-kI/AAAAAAAABmk/ooEHYkaCJy0/s72-c/prima.jpg)
Wafanyabiashara wasitisha mgomo
NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).
![](http://4.bp.blogspot.com/-_S5sGTcbJPU/VAbkK_zC-kI/AAAAAAAABmk/ooEHYkaCJy0/s1600/prima.jpg)
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo
WAFANYABIASHARA ya maduka katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wameingia katika siku ya tatu ya mgomo usiokuwa na kikomo, hali ambayo imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa manispaa...