Ndugai aibukia sakata la mgomo wa wafanyabiashara
>Naibu Spika, Job Ndugai ambaye alipotea bungeni wakati wa mjadala moto wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kuzua maswali mengi, jana ameibukia katika sakata la wafanyabiashara baada ya wabunge kuwasha moto kutaka Serikali isikilize madai yao na kumwachia mwenyekiti wa jumuiya yao, Johnson Minja aliyenyimwa dhamana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Jul
Upelelezi sakata la Ndugai kumpiga mgombea wakamilika
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa
WAFANYABIASHARA wa maduka kwenye mikoa mbalimbali nchini wamegoma kufungua maduka yao kwa madai kuwa serikali imeshindwa kusikiliza kilio chao cha kutaka mashine za kielektroniki (EFD) zishushwe bei. Mashine hizo zinatolewa...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-_S5sGTcbJPU/VAbkK_zC-kI/AAAAAAAABmk/ooEHYkaCJy0/s72-c/prima.jpg)
Wafanyabiashara wasitisha mgomo
NA WAANDISHI WETU
BIASHARA katika Jiji la Dar es Salaam, zimeanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya juzi baadhi ya wafanyabiashara wa maduka kugoma na kuyafunga, wakipinga matumizi ya mashine za risiti za kielektroniki (EFD).
![](http://4.bp.blogspot.com/-_S5sGTcbJPU/VAbkK_zC-kI/AAAAAAAABmk/ooEHYkaCJy0/s1600/prima.jpg)
Hata hivyo, wafanyabiashara hao walisitisha mgomo huo baada ya kufikiwa kwa maazimio...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LF_0wL06O3g/Xt-zXbTRyrI/AAAAAAALtOQ/wQsgNlZyHKoBTYd_mnZsTlzKMuYHzUOmACLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
SAKATA LA KUSHAMBULIWA MBOWE, SPIKA NDUGAI ATOA MAELEKEZO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LF_0wL06O3g/Xt-zXbTRyrI/AAAAAAALtOQ/wQsgNlZyHKoBTYd_mnZsTlzKMuYHzUOmACLcBGAsYHQ/s640/unnamed.jpg)
*Mbunge Chadema adai Mbowe alienda kulewa, akavunjika
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ameviomba vyombo vya ulinzi na usalama likiwemo Jeshi la Polisi kutoa taarifa kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Mbowe inadaiwa kuwa amevamiwa akiwa nyumbani kwake na kisha kushambuliwa na watu wasiojulikana...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Mgomo wa wafanyabiashara watikisa Kariakoo
![Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Kariakoo.jpg)
Baadhi ya maduka Kariakoo yakiwa yamefungwa baada ya maofisa wa TRA kuanza uhakiki wa watumiaji wa mashine za risiti za kielektroniki (EFD) jijini Dar es Salaam. Picha na John Dande
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAFANYABIASHARA wa maduka ya soko la Kariakoo wameanza mgomo kwa muda usiojulikana kuanzia jana, sambamba na kuishinikiza Serikali kupunguza kodi ya asilimia 18 wanayotozwa kupitia mashine za kielektroniki (EFDs).
Wamefikia hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya TRA kutangaza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Zf7js0lkpBquKw8uz*0K1S9TpuFVnOFxVWS675g1yHAf0qmLt8TbkKOguv83KDrk0qs-PFGS94lc4cRRaD2bdgRsQYPg*B29/IMG20140908WA0005.jpg)
WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAHAIRISHA MGOMO
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Wafanyabiashara Songea waendelea na mgomo
WAFANYABIASHARA ya maduka katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wameingia katika siku ya tatu ya mgomo usiokuwa na kikomo, hali ambayo imesababisha adha kubwa kwa wakazi wa manispaa...
10 years ago
GPLSAKATA LA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUJULIKANA IJUMAA HII
10 years ago
MichuziMGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO
Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa nje ya maduka yao mara baada ya kuamua kuyafunga kwa kile wanaochodai kufanya mgomo kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Johnson Minja ambaye kesi yake inasikilizwa mkoani Dodoma.