Upelelezi sakata la Ndugai kumpiga mgombea wakamilika
>Polisi mkoani hapa wamekamilisha upelelezi wa tuhuma zinazomkabili Naibu Spika, Job Ndugai kumshambulia kwa fimbo kada mwenzake wanayewania kuteuliwa kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kongwa, Dk Joseph Chilongani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Upelelezi kesi ya Gwajima wakamilika
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v1F3qXvD8zQ/U6MBjaCNpTI/AAAAAAAFrwo/vZPenqEwgBw/s72-c/1.jpg)
UPELELEZI KESI YA MBASHA WAKAMILIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-v1F3qXvD8zQ/U6MBjaCNpTI/AAAAAAAFrwo/vZPenqEwgBw/s1600/1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Upelelezi kesi ya Madabida wakamilika
UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya kusambaza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake...
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Upelelezi kesi ya Mchungaji Gwajima wakamilika
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
UPELELEZI wa kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima na wenzake watatu umekamilika na kesi inatarajiwa kuanza usikilizwaji wa awali Julai 2, mwaka huu.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro aliifahamisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana wakati kesi hiyo ilipokuwa inatajwa.
Mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa, Kimaro alidai kesi ilikuwa inatajwa, lakini upelelezi wa kesi hiyo umekamilika hivyo aliomba tarehe...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1VRIS-j6ZL4/Xn3JXVL3mWI/AAAAAAALlSI/hsyQD6M-5AUdiV45S3oIcDQmDe1WJEhdQCLcBGAsYHQ/s72-c/sheria.jpg)
Upelelezi kesi ya Shamimu Mwasha na Mumewe wakamilika, sasa kwenda Mahakama Kuu.
![](https://1.bp.blogspot.com/-1VRIS-j6ZL4/Xn3JXVL3mWI/AAAAAAALlSI/hsyQD6M-5AUdiV45S3oIcDQmDe1WJEhdQCLcBGAsYHQ/s320/sheria.jpg)
UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara, Abdul Nsembo maarufu kama Abdulkandida (45) na mkewe, Shamim Mwasha(41), umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika.
Pia upande huo wa mashitaka umeiomba mahakama kuipanga kesi hiyo katika tarehe ya karibu ili waweze kuwasomea washtakiwa hao maelezo ya mashahidi (Commital) na vielelezo kwa ajili ya kesi hiyo kuhamia Mahakama Kuu ambayo ndio ina...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tN-A-UXrq6w/U-ti-EuAW8I/AAAAAAAF_Nk/rhO-hNEW1Vk/s72-c/download.jpg)
kesi ya bosi wa bandari na msaidizi wake: upelelezi wakamilika, maelezo ya awali kusikilizwa septemba 11, 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-tN-A-UXrq6w/U-ti-EuAW8I/AAAAAAAF_Nk/rhO-hNEW1Vk/s1600/download.jpg)
Na Sultani Kipingo, MahakamaniUPANDE wa Jamhuri katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mlamkala ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, umedai kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi Kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd bila kutangaza zabuni.Madai hayo yalitolewa leo na upande wa Jamhuri katika kesi hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Isaya Arufani kwamba...
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Ndugai aibukia sakata la mgomo wa wafanyabiashara
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Naibu Spika adaiwa kumpiga mgombea CCM
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LF_0wL06O3g/Xt-zXbTRyrI/AAAAAAALtOQ/wQsgNlZyHKoBTYd_mnZsTlzKMuYHzUOmACLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
SAKATA LA KUSHAMBULIWA MBOWE, SPIKA NDUGAI ATOA MAELEKEZO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LF_0wL06O3g/Xt-zXbTRyrI/AAAAAAALtOQ/wQsgNlZyHKoBTYd_mnZsTlzKMuYHzUOmACLcBGAsYHQ/s640/unnamed.jpg)
*Mbunge Chadema adai Mbowe alienda kulewa, akavunjika
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ameviomba vyombo vya ulinzi na usalama likiwemo Jeshi la Polisi kutoa taarifa kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Mbowe inadaiwa kuwa amevamiwa akiwa nyumbani kwake na kisha kushambuliwa na watu wasiojulikana...