Wafanyabiashara wataka umoja EA
BAADHI ya wafanyabiashara walioshiriki Maonyesho ya Sabasaba katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kutoka nchini Kenya, wameitaka Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EA) kuondoa vikwazo mipakani kwa nia ya kuendeleza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Apr
Wabunge wataka serikali kuwajibika mgomo wa wafanyabiashara
WABUNGE wameitaka Serikali kuharakisha mazungumzo yake kuhusu tatizo lililopo la mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima, ili suala hilo lipatiwe ufumbuzi mapema.
9 years ago
StarTV24 Oct
Wafanyabiashara Samunge Arusha wataka Rais mwajibikaji
Wafanyabiashara wa soko la Samunge jijini Arusha wameeleza shauku ya kutaka kuwa na Rais atakayewasaidia kutatua kero zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo kusimamia sera na mazingira rafiki yatakayowawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo kunufaika kiuchumi. Kero kubwa ya wafanyabiashara hao ni kutokuwa na maeneo ya uhakika yatakayoondoa mivutano kati yao na Serikali. Wakizungumza sokoni hapa wafanyabiashara hawa wameutaka uongozi wa serikali ijayo kuboresha sekta ya wafanyabiashara hususan kwa...
10 years ago
Michuzi22 Sep
UMOJA WA MATAIFA WATAKA CHANZO CHA SIASA KALI ZINAZOLETEA MIGOGORO KICHUNGUZWE
10 years ago
Dewji Blog22 Sep
Umoja wa Mataifa wataka chanzo cha siasa kali zinazoletea migogoro zichunguzwe
Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Seif Rashid akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kuhudhuria maadhimisho hayo na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Joseph Masasi (wa pili kulia), Kamishna wa Ustawi wa Jamii, Bw. Dunford Makala (katikati) na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania , Bw. Ali Rajab (kulia) pamoja na viongozi wengine taasisi ya watu wenye ulemavu wa...
10 years ago
GPLUMOJA WA MATAIFA WATAKA CHANZO CHA SIASA KALI ZINAZOLETEA MIGOGORO ZICHUNGUZWE
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Mabalozi wa Umoja wa Ulaya wataka Tanzania kuhakikisha inaheshimu utawala bora suala sheria ya makosa ya Kimtandao
Joint Statement on Human Rights Infringements-LHRC_FIN_SWH.pdf
9 years ago
MichuziMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
GPLMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA UMOJA WA JAMHURI YA KOREA, UMOJA WA ULAYA NA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO